Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,504
- 13,761
Wazanzibar wamekuwa viongozi wa kuuendesha muungano Kwa mlango wa nyuma (indirect way) Kwa kile kinacho fahamika kama kero za muungan,ziliwapa nafasi ya kuingia sehemu nyeti kimkakati huko wabara wakiona wamewashika.Tanganyika ni makubwa jinga
Taifa lenye watu milion 60, litaingana vipi na kanchi kenye watu milion 1.
Nyerere Huwa naona Kwa huu muungano aliyumba mno
Mkuu swala la kuvunja muungano lilishafanywa tokea awamu ya kwanza na ikaendelea awamu zilizotangulia. Mfano:Nashangaa sana kwamba Watanzania wengi, hasa watu wa bara, hawajagundua kwamba awamu ya sita imevunja muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar bila maandishi au matangazo.
Ni kweli huu muungano haupo na lililopo ni TanganyikaKwa hiyo kila mtu akae akijua muungano haupo tena, makubaliano yamefanywa Zanzibar wajifanyie kila kitu isipokwa kuwaja jeshi, lakini makubaliano haya hayatatangazwa rasmi.
Na haya makubaliano yalifanywa Zanzibar? Tuliungana nchi mbili kwa hiari ya viongozi wa nchi hizi huru zenye mamlaka. Awamu ya sita imeyakuta.Tukichukua mkopo wa tuseme Trilioni 10, ukawapa Zanzibar gawio lao la trilioni mbili, zile trilioni mbili zinazoenda Zanzibar ni fedha nyingi sana kufanyia mambo mengi sana,
Mkuu swala la kuvunja muungano lilishafanywa tokea awamu ya kwanza na ikaendelea awamu zilizotangulia. Mfano:
1. Kuvunja makubaliano ya muungano
2. Kuongeza idadi ya orodha ya mambo ya muungano
3. Kuondoa nafasi ya Rais wa Zanzibar kuwa makamu wa kwanza wa Rais wa JMT
4. Kutokuitisha bunge la katiba ndani ya miezi 6 baada ya kusaini makubaliano ya muungano.
Nimeonesha haya ambayo yamefanywa na awamu zilizopita. Sasa kama ni kuvunjwa muungano katika awamu hii, swala hili lilipaswa lisemwe katika awamu zilizotangulia kwani kimsingi na kisheria huu muungano ulishauliwa zaidi ya miaka 60 iliyopita.
Ni kweli huu muungano haupo na lililopo ni Tanganyika
kujaribu kuidhibiti Zanzibar kimabavu, ila kwa bahati Zanzibar ipo na itaendelea kuwepo iwe ndani ya muungano au nje ya muungano.
Na haya makubaliano yalifanywa Zanzibar? Tuliungana nchi mbili kwa hiari ya viongozi wa nchi hizi huru zenye mamlaka. Awamu ya sita imeyakuta.
Ni kweli kwa mfano uliotoa fedha zinafanya mambo mengi lkn jee zinapelekwa kama unavyodai? Jawabu ni hapana. Jee ulitaka zisifanye mambo mengi? Ubinafsi.
Mkuu huu muungano, kwa mujibu wa Karume senior, ni kama koti; ukiona linakubana unalivua. Fanyeni hivyo ili tupumue. Mukiendelea na fikra za kuidhibiti Zanzibar, hii nchi itakushindeni kwani ilishawashinda wengi.
Ni aibu watu milioni 70 kutawaliwa na watu milioni 2.Mzenji kila siku analalamika kwanini rais wa zenji aamuliwe dodoma, watanzania bara (au kwasasa tanganyika imepamba moto) tulikua tunachukulia poa na kujimilikisha kimabavu koloni dogo la zenji.
2030 itakua tamu sana pande zote zitakua na marais wapya
SawaNashangaa sana kwamba Watanzania wengi, hasa watu wa bara, hawajagundua kwamba awamu ya sita imevunja muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar bila maandishi au matangazo. Hadi sasa kuna makubaliano kwamba Zanzibar watajifanyia kila kitu ambacho nchi rasmi inafanya isipokuwa hawatakuwa na jeshi la ulinzi.
Na kuna makubaliano kwamba serikali ya muungano haitaingilia jambo lolote au kutoa maelekezo yeyote upande wa Zanzibar kwa sababu sasa wamekuwa kama serikali kamili. Hata ziara za viongozi wa serikali ya muungano kule Zanzibar zimedhibitiwa. Na pia mabalozi wa nje wanapewa nafasi zao, na nadhani raisi wa Zanzibar ndie anateua watu wake na raisi wa Tanzania kutangaza rasmi.
Haya yote yamefanyika kimya kimya, na naweza kudiriki kusema yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa katika mazingira ya kuwa na raisi wa Tanzania kutoka Zanzibar. Hiyo imeonekana ni zile nafasi zinaitwa "it is now or never".
Ila jambo la kusikitisha ni kwamba katika hali hii Zanzibar ni kama imepewa fursa kubwa ya kujiendeleza haraka hasa katika miundo mbinu kwa sababu yajayo hayajulikani. Kama umeangalia vizuri, kuna miradi mikubwa ya miundo mbinu inayoendelea huko visiwani, pamoja na kubadilisha majengo ya shule karibu yote. Umewahi kujiuliza Zanzibar wanapata wapi fedha za kufanya haya mambo makubwa?
Ni kwamba, mbinu iliyotumika ni Tanzania kuchukua mikopo ya nje, ambapo sehemu kubwa sana ilienda Zanzibar kama gawio lao. Ile mikopo haikuwa kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania bara, mlengwa alikuwa Zanzibar. Ndio maana baadhi ya wanasiasa wa bara, walipogundua hilo walikasirika sana. Na tukumbuke kuwa daraka kubwa la kulipa hii mikopo liko Tanzania bara.
Ni kweli kwamba kuna fedha zinabaki Tanzania bara lakini faida kubwa ya ile mikopo ilikuwa ni kwa ajili ya Zanzibar. Tukichukua mkopo wa tuseme Trilioni 10, ukawapa Zanzibar gawio lao la trilioni mbili, zile trilioni mbili zinazoenda Zanzibar ni fedha nyingi sana kufanyia mambo mengi sana, wakati trilioni nane zinazobaki bara impact yake kuona zimefanya nini ni kidogo sana kwa sababu ya ukubwa wa nchi. Na ukweli ni kwamba mfumo wa gawio ulitengenezwa kwa kupendelea upande wa Zanzibar.
Sasa jambo ambalo limeanza kuwaamsha watu wa bara ni hili la meli za nje kusajiliwa Zanzibar. Kwa kiburi kabisa, pamoja na skendo zilizolikumba jina la Tanzania, Zanzibar wanadai tulishakubaliana tunajiendesha kama nchi kamili, na tuna haki ya kusajili meli. Wanadai kama hatutaki watumie jina la Tanzania basi mabadiliko yafanywe wazisajiri kwa jina la Zanzibar.
Na pia kuna baadhi ya wanasiasa wanahoji, kama Zanzibar wanaruhusiwa kujifanyia kila kitu kama nchi na kutoingiliwa, kwa nini bado wanateuliwa kwenye nafasi zinazohusu muungano au hata mambo ya bara peke yake? Baadhi ya majibu wanayopewa ni kwamba raisi ana uhuru wa kuteua timu yake ambayo itaona itamsaidia, na anaweza kuchukua watu bara au visiwani katika nafasi yeyote.
Kwa hiyo kila mtu akae akijua muungano haupo tena, makubaliano yamefanywa Zanzibar wajifanyie kila kitu isipokwa kuwaja jeshi, lakini makubaliano haya hayatatangazwa rasmi.
Licha ya kujitutumua Zanzibar Haina capacity hiyo ya kucolonjze Tanganyika, wasiwasi wangu ni kwa WaZanzibar wanaoishi bara siku Tanganyika ikifufuka watajificha wapi, maana itakuwa kilio na kusaga meno.Nashangaa sana kwamba Watanzania wengi, hasa watu wa bara, hawajagundua kwamba awamu ya sita imevunja muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar bila maandishi au matangazo. Hadi sasa kuna makubaliano kwamba Zanzibar watajifanyia kila kitu ambacho nchi rasmi inafanya isipokuwa hawatakuwa na jeshi la ulinzi.
Na kuna makubaliano kwamba serikali ya muungano haitaingilia jambo lolote au kutoa maelekezo yeyote upande wa Zanzibar kwa sababu sasa wamekuwa kama serikali kamili. Hata ziara za viongozi wa serikali ya muungano kule Zanzibar zimedhibitiwa. Na pia mabalozi wa nje wanapewa nafasi zao, na nadhani raisi wa Zanzibar ndie anateua watu wake na raisi wa Tanzania kutangaza rasmi.
Haya yote yamefanyika kimya kimya, na naweza kudiriki kusema yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa katika mazingira ya kuwa na raisi wa Tanzania kutoka Zanzibar. Hiyo imeonekana ni zile nafasi zinaitwa "it is now or never".
Ila jambo la kusikitisha ni kwamba katika hali hii Zanzibar ni kama imepewa fursa kubwa ya kujiendeleza haraka hasa katika miundo mbinu kwa sababu yajayo hayajulikani. Kama umeangalia vizuri, kuna miradi mikubwa ya miundo mbinu inayoendelea huko visiwani, pamoja na kubadilisha majengo ya shule karibu yote. Umewahi kujiuliza Zanzibar wanapata wapi fedha za kufanya haya mambo makubwa?
Ni kwamba, mbinu iliyotumika ni Tanzania kuchukua mikopo ya nje, ambapo sehemu kubwa sana ilienda Zanzibar kama gawio lao. Ile mikopo haikuwa kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania bara, mlengwa alikuwa Zanzibar. Ndio maana baadhi ya wanasiasa wa bara, walipogundua hilo walikasirika sana. Na tukumbuke kuwa daraka kubwa la kulipa hii mikopo liko Tanzania bara.
Ni kweli kwamba kuna fedha zinabaki Tanzania bara lakini faida kubwa ya ile mikopo ilikuwa ni kwa ajili ya Zanzibar. Tukichukua mkopo wa tuseme Trilioni 10, ukawapa Zanzibar gawio lao la trilioni mbili, zile trilioni mbili zinazoenda Zanzibar ni fedha nyingi sana kufanyia mambo mengi sana, wakati trilioni nane zinazobaki bara impact yake kuona zimefanya nini ni kidogo sana kwa sababu ya ukubwa wa nchi. Na ukweli ni kwamba mfumo wa gawio ulitengenezwa kwa kupendelea upande wa Zanzibar.
Sasa jambo ambalo limeanza kuwaamsha watu wa bara ni hili la meli za nje kusajiliwa Zanzibar. Kwa kiburi kabisa, pamoja na skendo zilizolikumba jina la Tanzania, Zanzibar wanadai tulishakubaliana tunajiendesha kama nchi kamili, na tuna haki ya kusajili meli. Wanadai kama hatutaki watumie jina la Tanzania basi mabadiliko yafanywe wazisajiri kwa jina la Zanzibar.
Na pia kuna baadhi ya wanasiasa wanahoji, kama Zanzibar wanaruhusiwa kujifanyia kila kitu kama nchi na kutoingiliwa, kwa nini bado wanateuliwa kwenye nafasi zinazohusu muungano au hata mambo ya bara peke yake? Baadhi ya majibu wanayopewa ni kwamba raisi ana uhuru wa kuteua timu yake ambayo itaona itamsaidia, na anaweza kuchukua watu bara au visiwani katika nafasi yeyote.
Kwa hiyo kila mtu akae akijua muungano haupo tena, makubaliano yamefanywa Zanzibar wajifanyie kila kitu isipokwa kuwaja jeshi, lakini makubaliano haya hayatatangazwa rasmi.
hua inatokea , kama kwa trump tu.Ni aibu watu milioni 70 kutawaliwa na watu milioni 2.
1. Money - sasa hivi wameshika uchumi wote, na wanaamua waoLicha ya kujitutumua Zanzibar Haina capacity hiyo ya kucolonjze Tanganyika, wasiwasi wangu ni kwa WaZanzibar wanaoishi bara siku Tanganyika ikifufuka watajificha wapi, maana itakuwa kilio na kusaga meno.
Mkuu swala la kuvunja muungano lilishafanywa tokea awamu ya kwanza na ikaendelea awamu zilizotangulia. Mfano:
1. Kuvunja makubaliano ya muungano
2. Kuongeza idadi ya orodha ya mambo ya muungano
3. Kuondoa nafasi ya Rais wa Zanzibar kuwa makamu wa kwanza wa Rais wa JMT
4. Kutokuitisha bunge la katiba ndani ya miezi 6 baada ya kusaini makubaliano ya muungano.
Nimeonesha haya ambayo yamefanywa na awamu zilizopita. Sasa kama ni kuvunjwa muungano katika awamu hii, swala hili lilipaswa lisemwe katika awamu zilizotangulia kwani kimsingi na kisheria huu muungano ulishauliwa zaidi ya miaka 60 iliyopita.
Ni kweli huu muungano haupo na lililopo ni Tanganyika
kujaribu kuidhibiti Zanzibar kimabavu, ila kwa bahati Zanzibar ipo na itaendelea kuwepo iwe ndani ya muungano au nje ya muungano.
Na haya makubaliano yalifanywa Zanzibar? Tuliungana nchi mbili kwa hiari ya viongozi wa nchi hizi huru zenye mamlaka. Awamu ya sita imeyakuta.
Ni kweli kwa mfano uliotoa fedha zinafanya mambo mengi lkn jee zinapelekwa kama unavyodai? Jawabu ni hapana. Jee ulitaka zisifanye mambo mengi? Ubinafsi.
Mkuu huu muungano, kwa mujibu wa Karume senior, ni kama koti; ukiona linakubana unalivua. Fanyeni hivyo ili tupumue. Mukiendelea na fikra za kuidhibiti Zanzibar, hii nchi itakushindeni kwani ilishawashinda wengi.
Hizo hoja zako zinamake sense lakin haziifanyi Zanzibar kuwa na capacity ya kuitawala Tanganyika, issue hapo ni Samia, In fact anaweza kuingia Rais mtanganyika akamantain the same interests lakini akawatelekeza Zanzibar. Labda kama Tanzania itatawaliwa na Marais waZazanzibar mpaka kihama.1. Money - sasa hivi wameshika uchumi wote, na wanaamua wao
2. Nguvu ya Hii Triangle- Qatar, Oman, UAE na Iran - ukiondoa Irani, hao wote ni puppets wa Uinested States
3. Third factor- China- anapitia hao Evil Triangle kuwekeza kukwepa West Condemnation- ie kama wakati ule Merchant Company ya China + Oman kujenga Bandari ya Bagamoyo
4. They have taken Loliondo
5. They havae take more than 8million hecters of land ati wanapanda miti kwa kulinda mazingara
Majority waTanganyika someni mpate kazi-haaaa
Understand that US inao top 1% ndiyo wana control wealth wengne wote middle class
Inawezekana usemalo lakini nao wemeshaamka halafu wana watu wao. JK at the centre hawezi kuachia hii fursa, na unaona wanavyo weka watu wao kama puppets, money matters kuliko mkono mtupu. Ukishakua na pesa na Jeshi basi kila kitu unaweza ku-control.Hizo hoja zako zinamake sense lakin haziifanyi Zanzibar kuwa na capacity ya kuitawala Tanganyika, issue hapo ni Samia, In fact anaweza kuingia Rais mtanganyika akamantain the same interests lakini akawatelekeza Zanzibar. Labda kama Tanzania itatawaliwa na Marais waZazanzibar mpaka kihama.
Ni kweli lakini Zanzibaris wamekuwepo kwenye positions of power even before Samia, Issue mkuu hapa ni Samia sio Zanzibaris, ndo maana nasema Kuna siku WaZanzibar watalipia makosa yanayofanyika na Samia. Zanzibaris have always been in positions of power even before Samia, we jiulize why now!? Samia, and sho won't last long, makosa yake yatawacost WaZanzibar kuliko hata Tanganyika in the future.Inawezekana usemalo lakini nao wemeshaamka halafu wana watu wao. JK at the centre hawezi kuachia hii fursa, na unaona wanavyo weka watu wao kama puppets, money matters kuliko mkono mtupu. Ukishakua na pesa na Jeshi basi kila kitu unaweza ku-control.
Samia kaweka precedent, kumbe ukipiga risasi wanaogopa, na hasa kama ICC hawatachukia hatua, itakua kweli, na likely itakua hivyo kwa sababu nguvu ya UAE na Qatar mbele ya US ni kubwa sana, na position ya Tanganyika Afrika inaeleweka- I meang geographical position. UAE, Qatar, Oman na hata SAudi wanapiga kote kote, Far Eas na West. China na USA wako mkononi. Tanganyika utafanya nini?
Kama matakwa yao yatakidhiwa na uwepo wa Zanzibaris kwa nini wasielekeze nguvu kwa kuipa nguvu Zanzibar over Tanganyika? They will have Congo, Zambia and all central Africa。
Tanganyika ni makubwa jinga
Taifa lenye watu milion 60, litaingana vipi na kanchi kenye watu milion 1.
Nyerere Huwa naona Kwa huu muungano aliyumba mno
Mkuu; unaelekea wewe ni mchanga sana, hivyo kwanza jifunze; hatujadili kwa mihemko. Wenyewe wanaita JF home of great thinkers.Kwanini ninyi ambao mmeshika mpini kupitia chura kiziwi msivunje sasa?kinachowashinda kufanya hivyo ni nini hasa?