Maktaba Imefiwa: Al Fatah Online TV na Kipindi cha Taazia

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
22,454
Reaction score
32,980
MAKTABA IMEFIWA: AL FATAH ONLINE TV IMEFIKA KUFANYA KIPINDI CHA TAAZIA YA MOHAMMED ABDULRAHMAN

Jana kutwa nzima napokea simu na msg za pole kisha kuulizwa mbona sijaandika taazia ya msiba wa Mohammed Abdulrahman.

Leo asubuhi Salim Rashid wa Al Fatah amekuja kutoka Zanzibar na boti ya kwanza kuja kufanya kipindi cha marehemu Mohammed Abdulrahman na wamenifahamisha kuwa ni documentary na wamezungumza na watu wengi mmojawapo akiwa Othman Miraj ambae alifanya kazi Sauti ya Ujerumani kwa miaka mingi.

Allah amfanyie wepesi ndugu yetu.
Amin.

1752748953415.png

1752749233956.png
 
View attachment 3408773
View attachment 3408776
Pole sana Mzee wangu Mohamed.
 
Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.
Hapo Chini akielekea Karbala the battle of Ashura.

Screenshot_2025-07-18-16-30-28-06_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

Screenshot_2025-07-11-11-53-58-13_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~3.jpg
Screenshot_2025-07-09-18-01-08-90_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Nilikuwa napenda sana kumsikiliza kipindi nikiwa bado na muda wa kusikiliza FM radio,Mungu amrehemu.
 
Kwanini historia zako hutumia sana hubase sana idea za kiislam sana nini shida huwa
Ashampoo...
Hakuna tatizo labda kama liko tatizo ni kuwa historia
ya Waislam hakuna aliyeifanyia utafiti na ikawa haipo.

Hebu waza inaandikwa historia ya kupigania uhuru wa
Tanganyika huoni jina la Kleist Abdallah Sykes muaisisi
wa African Association wala jina la Scheider Abdillah
Plantan.

Inaandikwa historia ya TANU huoni jina la Abdul Sykes kadi
yake ya TANU No. 3 kadi No. 2 ya mdogo wake Ally.

Humsomi Sheikh Hassan bin Ameir aliyekuwa akiuza kadi za
TANU misikitini tena akiwa Mufti wa Waislam wa Tanganyika.

Hii inawezekanaje?
 
Back
Top Bottom