Makovu Uchaguzi USA - People in 20 states file petitions

Makovu Uchaguzi USA - People in 20 states file petitions

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
e86af51f634c2f1f200f6a7067001256.jpg
secede1_uni_1352748846.jpg

People in 20 states file petitions to secede

In the wake of last week's presidential election, thousands of Americans have signed petitionsseeking permission for their states to peacefully secede from the United States. The petitions were filed on We the People, a government website.

States with citizens filing include Alabama, Arkansas, Colorado, Florida, Georgia, Indiana, Kentucky, Louisiana, Michigan, Mississippi, Missouri, Montana, New Jersey, New York, North Carolina, North Dakota, Oregon, South Carolina, Tennessee and Texas. Oddly, folks from Georgia have filed twice. Even stranger, several of the petitions come from states that went for President Barack Obama.

The petitions are short and to the point. For example, a petition from the Volunteer State reads: "Peacefully grant the State of Tennessee to withdraw from the United States of America and create its own NEW government." Of all the petitions, Texas has the most signatures so far, with more than 23,000.

Of course, this is mostly a symbolic gesture. The odds of the American government granting any state permission to go its own way are on par with winning the lottery while getting hit by a meteor while seeing Bigfoot while finding gluten-free pizza that tastes like the real thing.

An article from WKRC
quotes a University of Louisville political science professor who explained that these petitions aren't uncommon. Similar petitions were filed following the 2004 and 2008 elections. Still, should the petitions garner 25,000 signatures in a month, they will require an official response from the Obama administration.

From the We the People site:
The right to petition your government is guaranteed by the First Amendment of the United States Constitution. We the People provides a new way to petition the Obama Administration to take action on a range of important issues facing our country. We created We the People because we want to hear from you. If a petition gets enough support, White House staff will review it, ensure it's sent to the appropriate policy experts, and issue an official response.

Not everybody who wants to secede is polite enough to write a petition. Peter Morrison, treasurer of the Hardin County (Texas) Republican Party, wrote a post-election newsletter in which he urges the Lone Star State to leave the Union.
"We must contest every single inch of ground and delay the baby-murdering, tax-raising socialists at every opportunity. But in due time, the maggots will have eaten every morsel of flesh off of the rotting corpse of the Republic, and therein lies our opportunity... Why should Vermont and Texas live under the same government? Let each go her own way in peace, sign a free trade agreement among the states and we can avoid this gut-wrenching spectacle every four years."
a82d7bf316e9e9d0630d520173e4460d

Texas ilinunuliwa baada ya UHURU wa MAREKANI toka kwa MEXICO... kwahiyo haikuwa STATES before then... Sasa Unajua 60% sasa hivi TEXAS ni SPANIC?
 
Wanajidanganya hao watapotelea mbali.Marekani haina mchezo kwa mtu anayeanzisha chokochoko la kujitenga.
 
Wanajidanganya hao watapotelea mbali.Marekani haina mchezo kwa mtu anayeanzisha chokochoko la kujitenga.

You're very right! Wamarekani hawana mjadala kwenye issue ya national unit. Hao wanajifurahisha tu!
 
Texas ilinunuliwa baada ya UHURU wa MAREKANI toka kwa MEXICO... kwahiyo haikuwa STATES before then... Sasa Unajua 60% sasa hivi TEXAS ni SPANIC?

Texas haikununuliwa na Marekani; ilijitangaza Uhuru kutoka Mexico baada ya vita na ikawa na Rais wake wa kwanza kama nchi huru - Jamhuri ya Texas - aliyeitwa Sam Houston (ambaye jina lake linabeba jiji la Houston). Ni baada ya muda huu ndio Marekani ilipoamua kuiannex kwa makubaliano na Houston kuwa Jimbo lake la 28. Kuanzia 1836-1845 Texas ilikuwa nchi kamili; ikiwa na muda mrefu kama nchi huru kuliko Zanzibar ilivyokuwa kabla ya Muungano.
 
Originally, When the United States Purchased Louisiana
from France in 1803, American authorities insisted that the agreement also included Texas. Unajua Mikataba ya wakati huo mipaka ilikuwa sio ya UHAKIKA na wakati wa MEXICO War of INDEPENDENCE they included MEXICO that was 1821; Wakati Huo Texas pupulation haikuwa kubwa... Mengi yalitokea kutokana na enzi hizo za kutokuelewana later on 1836 then what U said Happened...

Flag of the six nations that have had sovereignty over some or all of the current territory of Texas
 
Texas ilinunuliwa baada ya UHURU wa MAREKANI toka kwa MEXICO... kwahiyo haikuwa STATES before then... Sasa Unajua 60% sasa hivi TEXAS ni SPANIC?

Kinachonishangaza kama Texas nusu yao ni Spanish, imekuwaje tena imekuwa ngome ya Republican, ni jambo ambalo huwa nijiuliza sana, maana nimefika huko hasa maeneo ya Dallas miaka 6 iliyopita, hakuna mtaa utakaomkosa mspanish.
 
Kwasababu Wengi Wao Hawana USA Nationality; Lakini TEXAS inakaribisha illiegal Immigrants kama Wanafanya VIZURI wanawapa WORK PERMITS kwahiyo Hawawezi kupiga KURA; Sasa hata hivyo Watoto wao kila Mwaka 16,000 wanatimiza Miaka 18 kwahiyo wanaruhusiwa kupiga kura sababu wamezaliwa USA... kwahiyo ni powerful VOTING BLOCK; OBAMA alishindwa TEXAS kwa kura laki 9... Inavyoonekana 2016; TEXAS inaweza kubadilika na kuwa a BLUE STATE; kama Immigration reforms ITAPITA...
 
Originally, When the United States Purchased Louisiana
from France in 1803, American authorities insisted that the agreement also included Texas. Unajua Mikataba ya wakati huo mipaka ilikuwa sio ya UHAKIKA na wakati wa MEXICO War of INDEPENDENCE they included MEXICO that was 1821; Wakati Huo Texas pupulation haikuwa kubwa... Mengi yalitokea kutokana na enzi hizo za kutokuelewana later on 1836 then what U said Happened...

Flag of the six nations that have had sovereignty over some or all of the current territory of Texas

Warusi walianza hivyo hivyo kama Geogia na Lithuania kuanza kudai uhuru wake na kilichoendelea ni kusambaratika kwa USSR, je Marekani itaweza kuhimiri kishindo hiki?
 
Warusi walianza hivyo hivyo kama Geogia na Lithuania kuanza kudai uhuru wake na kilichoendelea ni kusambaratika kwa USSR, je Marekani itaweza kuhimiri kishindo hiki?

Tatizo la TEXAS na MAJIMBO MENGINE ya USA hayakuwa MAJIMBO na UONGOZI... URUSI iliyateka hizo NCHI walikuwa na TAWALA zao...

TEXAS sasa hawawezi kufanya hivyo itarudi kimaeneo na WA MEXICO; Wataidai...

NA KATIBA ya USA ni kali hairuhusu kujitenga
 
Marekani zilikuwa nchi zinazojitawala, lakini ikikuwa ni wakati huo ambao tawala zilionekana kama hazina nguvu ya nchi kutokana na nchi yenyewe kujaa wageni wakati wenyenyeji hawakuna na mfumo wa kiutawala ila kama wamasai wahamajihamaji aka akina Cherokee.

Mfumo wa States za Marekani na Katiba ya nchi ilivyoachia madaraka makubwa kwa states hizo ni ufa unaosaidia wanaotaka kujitenga na kuwa huru kutokana na mikinzano ya baadhi ya sheria kuwa na nguvu katika majimbo fulani na baadhi kutokuwa na uzito kwa sababu kila State lazima iridhie la sivyo sheria haina nguvu kupenya kwenye state yao.

Tumeshuhudia kuna state zilizohalalisha ndoa za ushoga na utoaji mimba, lakini kuna baadhi ya state wanakataa katakata na wanafanya hivyo kwa sababu sheria na katiba ya nchi inawapa haki hiyo.

Kosa kubwa lenye heri walilofanya USA katika kushawishi nchi zijiunge na federal ni kuwapa uhuru kila state kuwa na state-congress plus state-senator yake huku Gavana akiwa na mamlaka kamili katika state yake kama alivyo rais ila kuwa mtiifu kwa serikali mama ya federal ya Washington.

Kwangu mimi ninachokiona States za Marekani kuwa na nguvu za kisiasa ni sawa kama ilivyo Tanzania visiwani ilivyo na nguvu yake ya kisiasa na kuwa na mambo yake pengine hata wabara hatuna.

  • Hakuna kitambulisho cha Marekani ila kuna kitambulisho cha kila State.
  • Hakukna Driving License ya Marekani ila kuna Driving ya kila state.
  • Hakuna kampuni ye yote iliyosajiliwa kufanya biashara Marekani, ila kila kampuni husajiliwa na state husika.
  • Taaluma pekee zinazohitaji kuwa licensed hazifanywi na Marekani bali na kila state.
  • Hata kama umekuwa licenced kufanya biashara au taaluma yako katika state fulani utakapoingia state nyingine unatakiwa kuanza upya process na kufuata masharti ya state husika.
  • Kama una malori ya mizigo kila state utakakopita lazima usajili na kulipia ushuru unaotakiwa.

Basi kuna mengi ambayo wengi wanafikiri ni kama nchi mmoja kumbe ni kila state ipo na mambo yake kama nchi. Isipokuwa shughuli za Uhamiaji, pass za kusafiria, work permit na mengine machache huwa kwenye mfumo wa kitaifa yaani hutolewa na federa.

Jambo moja lieleweke, Marekani kila state ina Jeshi lake kamili ingawa halionekani kama jeshi la state ila la Taifa. Kunapotokea hitaji la wanajeshi kwenda nje ni kila state kuchangia. Hivyo hakuna jeshi la Taifa ila ni mkusanyiko wa majeshi ya states.
 
Back
Top Bottom