Hapana si love bite, ni mpenzi wangu ambae tuligombana, akaamua kuchukua kisu na kutaka kunichinja hivo nikashtuka usingizini.
Tukio hilo liliniweka kovu japo bado rohoni nina maumivu ya jambo hilo.
karibu na goti au karibu na wapi katika paja lako bidada? pole kwa kuunguzwa!!!!!!!!!!
Aisee nalikumbuka kweli ulikuwa nalo mwaka jana! hivi halijafifia?
hbu weka picha
Wow...i am privileged aisee..coz u always make me laugh pacha!watu wengi nikiwaambia hawaamini kwasababu tumbili ni rafiki mkubwa wa binadaamu!lakini mimi namuogopa sana...nimepata phobia aisee....nikimuona natoa mbio na ye anatoa mbio tunakimbiana...na nilikuwa always napata vibe kwamba wananiogopa kwa jinsi nikiwatazama kwahio wakijenga defence mechanism fulani hivi kama wakijilinda....duh mimi umenichekesha
nasubiri hiyo tattoo ya titi niione vyote lol
tatoo na saa nane lol
Pole sana aiseeee mhh........ mimi ninalo kifuani, one tym kitambo nilikua nimelala kifudifudi then kakaangu alikuaga mkorofi sana akachuku pasi ya moto na kunipasi kifuani... sitasahau siku ile, nilistuka ghafla nikaanza kutapika... daaaah! utoto raha
Thanx....Pole sana aiseeee mhh....
The Boss definitely takes the cake.Hivi kati yako na Nyani Ngabu who is the badder boy. Manake siwapatiagi jibu!
duuh alitaka kukuua au ni nini? polee.... mimi ninalo kifuani, one tym kitambo nilikua nimelala kifudifudi then kakaangu alikuaga mkorofi sana akachuku pasi ya moto na kunipasi kifuani... sitasahau siku ile, nilistuka ghafla nikaanza kutapika... daaaah! utoto raha
ndio tumbili!!
Hapana si love bite, ni mpenzi wangu ambae tuligombana, akaamua kuchukua kisu na kutaka kunichinja hivo nikashtuka usingizini.
Tukio hilo liliniweka kovu japo bado rohoni nina maumivu ya jambo hilo.
Kumbe ulikua unataka ubaki na mkono wa sweta babu?!!faida ipi? nitajie faida ya kuwa na kovu.
Hivi kati yako na Nyani Ngabu who is the badder boy. Manake siwapatiagi jibu!