Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,078
- 136,518
Mie ninalo pembeni ya shingo, upande wa kushoto.
Aisee...sitasahau.
mi sivaagi bra bwana! bado bado huku!
bado nipo saa nane kidogo
ahaaaa yupi huyo tena?
mi sivaagi bra bwana! bado bado huku!
ahaaaa kakangu unapenda urojo wewe! camera inasumbua hapa
pole sana best ile ajali ilikuwa balaa tungeshakusahau ujue. Mungu bado anakuhitaji duniani umtumikieMakovu..
1.Kichwani juu ya kope ya jicho la kushoto, nilipata ajalli mbaya sana nikawa nimepata fracture limebaki kovu
2.Begani mkono wa kushoto nilichanwa na vioo siku ya ajali
3.Makovu ya utotoni mguu wa kushoto nilimwagiwa uji na mtoto wa baba mdogo tulikua tunagombea kikombe
4.mguu wa kulia makovu nilijiunguza na uji wa Plastiki nilikua natengeneza goroli za kuchezea nguti
mbona nipo halafu mi friend wako fb ujue
neizer of zem! halafu kuna mbeby mmoja ni friend wako tulikuwaga nae chuo sema alipigwa disco mwaka wa kwanza yupo marekani ni friend wako! sijui mnajuanaje aisee alikuwa noooooma noooma ! mmmh ngoja nimcheki tenaHmmm...halafu huko fesbuk sijaingia kitambo. Hebu ngoja niingie nikafanye utafiti wewe utakuwa nani kati ya wale wabebs wote marafiki zangu.
We ndo Anna Daudi, Karen, au Bahati?
neizer of zem! halafu kuna mbeby mmoja ni friend wako tulikuwaga nae chuo sema alipigwa disco mwaka wa kwanza yupo marekani ni friend wako! sijui mnajuanaje aisee alikuwa noooooma noooma ! mmmh ngoja nimcheki tena
Makovu..
1.Kichwani juu ya kope ya jicho la kushoto, nilipata ajalli mbaya sana nikawa nimepata fracture limebaki kovu
2.Begani mkono wa kushoto nilichanwa na vioo siku ya ajali
3.Makovu ya utotoni mguu wa kushoto nilimwagiwa uji na mtoto wa baba mdogo tulikua tunagombea kikombe
4.mguu wa kulia makovu nilijiunguza na uji wa Plastiki nilikua natengeneza goroli za kuchezea nguti
jamaa alikuwa mkatili sana huyo, love bite gani mpaka akakuachia kovu
pole sana best ile ajali ilikuwa balaa tungeshakusahau ujue. Mungu bado anakuhitaji duniani umtumikie
Hakuna yaliyojificha?