Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,493
- 145,851
maisha ni leo kaka ..
hakunaga kesho....
ndio ivo kaka...mimi sometimes huwa siamini katika neno uvumilivu...kama icho kitu hakiwezekaniki leo ...mimi huwa mgumu kuamini kwamba kesho kitawezekana....so bora niangalie alternative ingine...hii kitu keep waiting,na keep trying kwangu ni ngumu kidogoHakika la leo hufanywa leo. Ukingoja kesho utaula wa chuya.
Nimejifunza.
nyani kaingia choo cha kikePole sana
nyani kaingia choo cha kike
sio hakitumiki tu ....yamekusibu yapi mbeba box wetu?Tena kile ambacho hakitumiki!!
sio hakitumiki tu ....yamekusibu yapi mbeba box wetu?
pole my dear .naona kweli leo yamekufika umekuwa mdogo kuliko piriton aiseee...ndo hivo dunia ya sasa sio ile ya zamani unaingizwa chaka hivihivi.....kama ni paper sehemu ya jina unapigishwa tarehe...n.k utajuuuuuuuuuuta pole banaMengi mno Smile. Sijui hata pakuanzia.
pole my dear .naona kweli leo yamekufika umekuwa mdogo kuliko piriton aiseee...ndo hivo dunia ya sasa sio ile ya zamani unaingizwa chaka hivihivi.....kama ni paper sehemu ya jina unapigishwa tarehe...n.k utajuuuuuuuuuuta pole bana
daah iyo avatar wachumba zetu watasalimika kweli humu....please dont take my man eheheeeeKuna mahala nimeona Dark City amesema hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe. Hizi imaginations na anticipations zinaweza kutushawishi visivyo. A bird in the hand is worth two in the bush.
ohooo mbona ninae? watu wote sio sawa banaNa wewe jifunze toka kwangu. Usikubali kutoka na mtu humu JF. Sawa Smile?
ohooo mbona ninae? watu wote sio sawa bana
daah iyo avatar wachumba zetu watasalimika kweli humu....please dont take my man eheheeee
yule nimempima hadi maini hawezi nitosaShauri yako. Yakikukuta usije kunililia maana ntakutimua.
yule nimempima hadi maini hawezi nitosa
atakuwa mnegro huyo, pole nyani!Mengi mno Smile. Sijui hata pakuanzia.