Makosa yanayofanya baada tu ya kuolewa, uchokwe

Mdharuba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
824
Reaction score
522
Habari za mwaka mpya wakuu.
Mwaka 2018 sidhani kama niliandika chochote humu jukwaani, ulikuwa mwaka nitakaoukumbuka kwa mengi.

Baada ya salamu ndefu, naomba niulize hivi kwa wadada/wamama:-
Umeshawahi kujiuliza kwanini kabla ya ndoa kunakua na mapenzi motomoto sana, lakini baada tu ya ndoa mambo hubadilika? Na yule aliyekua anakupenda na kuku-sms, na kukupigia simu siku nzima, hana muda na wewe?

Kama umejiuliza hilo, na ukaamini wanaume ndivyo walivyo, labda sijui ameshapata analotaka, au whatever.. Uko wrong!!
Tatizo hili la kuonekana wa kawaida kuliko mwanzo, ni 90% linasababishwa na mwanamke mwenyewe.
Kwanini?! Nifuatilie vizuri...

1. Wanawake wengi sana kabla ya ndoa, kwanza wana-pretend, hawawi wao halisi. Wanajifanya wanapika, wanajifanya wanajali, wanahifanya wasafi, wanajifanya wanaheshimu makubaliano, wanajifanya hawapendi starehe, wanajifanya wake wema kabisa, wanajifanya ,wanajifanya, wanajifanya...
Lakini ukweli halisi hauko hivyo, ni waongo tu.
Sisi wanaume ni wadhaifu sana kwa watu tunaowapenda, na hujikuta tunafanya chochote kwa ajili yenu.
Kwahiyo, baada ya ndoa, ukionyesha tabia tabia tofauti na zile ambazo nilivutika nazo na nikazidi kukupenda, unategemea nini sasa??!

2. Mnaishi kwa mazoea saana baada ya ndoa. Yaani mtu umeshaolewa, unahisi umemaliza kazi, mume hawezi kuwa na jipya tena. Yani wewe hujihisi huna majukumu makubwa tena juu yake.
Nawaibia siri moja, ashakum si matusi, WANAWAKE WOTE MNAKUWA WAZURI KWA WANAUME MNAPOKUA MMEVAA NGUO. Ukweli ni kuwa hamvutii sana mkiwa mmezivua. Sasa usitegemee kuwa kitandani tu ndo patanipa uhuru wa kukupenda zaidi, hamvutii sana hapo, ni hamu ya dakika 30 tu, ikiisha kuna dakika 1410 katika hiyo siku, tunahitaji kukuona ukiwa unafanya vizuri zaidi anga hzo.

Mfano, Umeamka asubuhi, hata kumuuliza mumeo "umeamkaje mume wngu?" Ni ishu, kitu ambacho ulikua unafanya kila siku katika kipindi cha mahusiano. Hili ni dogo sana, lakini linaboa.

Mume anakupigia simu, "leo kwakuwa uko nyumbani naomba unitayarishie kitu flani" unaitikia vizuri, halafu unapuuza. Unaweza kujibu baadae kuwa "nilisahau", na ukahisi ni kitu kidogo sana, lakini kinachangia saana kwakweli kuonekana wa kawaida.

3. Baada ya ndoa, wengi mnakua si wasafi tena. Hamzingatii sana usafi. Mnachukulia poa tu. Unaweza kulala pia bila kuoga!! Hatari sana. Jasho kama lote, kila muda uko busy na mambo mengine, huna time na mume. Hii ni miongoni mwa factors kubwa saana zinazopelekea kuonekana wa kawaida. Be smart.

4. Ujio wa mtoto ndio janga la kitaifa. Baada ya mwanamke kujifungua mapenzi yote anahamishia kwa mtoto. Akihisi ule uchungu wake kwa mtoto uko sawa na kwa mumewe, haiko hivyo. Ni tofauti sana. Hapa ndipo ambapo mwanamke anaweza hata kumkaripia mumewe sababu ya mtoto. Anaona ni sawa tu.
Na ndio maana ndoa nyingi zaidi zilizovunjika ni za wenye mtoto mmoja, kwa sababu wanaume wengi wanashindwa kuvumilia..

Naomba nianze mwaka na hayo kwanza, naamini yatasaidia.
Good day.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi ambao hatujaoa tuna reply wapi...?
 
Mkuu hii kitu ni very complicated, Hii hutokea pande zote siyo upande wa Ke tu hata upande wa Me pia kuna vitu vinabadirika, mfano kumnunulia vizawadi, kumuita kwenye starehe, na hata kumdrive hayo yote hutokea kwa Me pindi anapooa
 
Kutoweka hayo yanategemea ushawishi mkubwa kutoka kwake..

Watanzania tunapenda sana kuendekeza mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante umeongea point nimegundua mambo tunayoona madogo ndo yana nguvu kubwa kwenye mahusiano mfano nikiwa mbali na mpenz wangu huwa ananitajia vitu vidogo vidogo sana alivyomiss kwangu huwa nafanya bila kujua mfano namna nnavyompokea akitoka kazin au nnavyomuhandle akiwa na hasira simple things tunavidharau lakn vina nafasi kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tatizo Jinsi ya Me tupo one sidedhatutaki kuambiana ukweli kuwa yale tuliyokuwa tunayafanya kipindi cha upenzi au uchumba hukoma tu pindi status zote hubadirika na kuwa Mke au Mume. Hiyo ni hali ya kawaida kabisa na hakuna kinachodumu kama kilivyokuwa awali na hii ni Sayansi kabisa. Mti ukichomwa hauwezi kurudi kuwa mti, Maji ya kiganda yanabadirika the same to Jinsi ya Me na Ke inapobadirisha status ya kutoka kwenye usingle na kuwa Uana ndoa, pia hiyo hali inaendelea kubadirika pale wanapojaliwa kupata watoto au hata wanapokaa muda mrefu bila kupata watoto
 
Ndoa hujengwa na wote wawili Kuwa responsible yani wewe mwanaume ukilishe zakari zako usubirie mke ajenge ndoa huo si ukichaa.

Hafu wakati wa uchumba jinsia zote Hu fake fake sasa akiingia ndoani you can't fake anymore tabia halisi zadhihirika. Mimi ndo mana huwa real mwanzo mwisho, na ndo mana napenda wa kweli wasio fake mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo number 4 hata mimi lazima nimu take care mtoto Ili akue pia ulezi ni jukumu gumu nyie wanaume huwa mumejikalisha tu hamjui other ya ulezi mara mtoto augue joto, hapo mama hata kula huwezi sasa nyie wanaume malaya msiojielewa ndo mnaanza kuhangaika. Mie mtoto kwanza aisee mwanaume kajambe mbele huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🍉🍎🍇🍅🍓
Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
 
Mkuu hii kitu ni very complicated, Hii hutokea pande zote siyo upande wa Ke tu hata upande wa Me pia kuna vitu vinabadirika, mfano kumnunulia vizawadi, kumuita kwenye starehe, na hata kumdrive hayo yote hutokea kwa Me pindi anapooa

Mabadiliko ya upande mmoja pia huleta mabadiliko ya upande mwingine
 
Back
Top Bottom