Makosa yanatokana na kitabu kimoja

Bakari China

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
251
583

Shikamoo wakuu. ningetaka kuwauliza kuwa "wamekuwa kuona sisi" ni sawa au la? lakini kwa kawaida tuseme "wamekuwa kutuona".

zaidi ya hayo, "yako majirani karibu zaidi" ni sawa au siyo sawa? majirani ni mojawapo kati ya aina za watu, lazima tutumie "wako majirani karibu zaidi", je ni kweli?
asante sana
 
Mkuu huyu mwandishi wa kitabu anatoka nchi gani?mbona ana makosa mengi?
 
Mkuu huyu mwandishi wa kitabu anatoka nchi gani?mbona ana makosa mengi?
mkuu jana nilisoma kitabu hiki, kuna makosa mengi kabisa. tuone picha ya kwanza, maana ya alisema i ni nilisema. mwanatafsiri wa kitabu hiki anatoka merikani, labda alitumia mashine ya tafsiri tu.
 
mkuu jana nilisoma kitabu hiki, kuna makosa mengi kabisa. tuone picha ya kwanza, maana ya alisema i ni nilisema. mwanatafsiri wa kitabu hiki anatoka merikani, labda alitumia mashine ya tafsiri tu.
Sawa mkuu,tafuta kitabu kingine kama inawezekana,hasa kutoka Africa mashariki,hususani Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…