franknombo
Senior Member
- Mar 30, 2019
- 170
- 160
Wadau habari,
Naomba kujua ni makosa gani ya Usalama Barabarani yanaingia kwenye jinai na makosa gani yanaingia kwenye madai.