Makosa matatu ya Mwigulu Nchemba kufikia malengo yako

Mwigulu asidhanie watu tumesahau alivyokuwa anapiga mabomu wapinzani, sasa kati ya wapiga kura million 23 atapigiwa na wana ccm wenzake million 6

Ndio ujinga uliomkumba kwani anafikiri kuingoa iku unategemea kura za chama chako tu,wakati tayari ndano ya ccm tayari kuna makundi hivyo hiyo 6m tayari imegawanywa hivyo itambidi kutegemea hata kura za upinzani watu ambao alikuwa anawaona ni maadui no moja
 
January hawezi kuungana na Mwigulu kwa sababu tayari January ameungana na Nape Nnauye kuhakikisha wanammaliza Mwigulu kisiasa. Sehemu yao ya kukutana ni south n sun ndipo wanapopanga mikakati yao ya ovyo

Mh! Mnadadavua
 
Nlichoshuhudia jana kwa Nchema ni malalamiko kuhusu mapungufu ndani ya Serikali na historia ya maisha yake.Nlitegemea angejikita zaidi kueleza mafanikio yake kwa kipindi chake cha Ubunge na kwa kipindi kifupi alichoshikilia nafasi ya naibu Waziri wa fedha ili kukishawishi chama na wananchi kumuunga mkono kuendeleza mafanikio aliyoyaanza
 
Cha kushangaza mafisadi wote wanaingia na kutangaza nia ya kugombea urais,sijui ndio mbinu yao kupitia kitengo cha interejensia

Ndio maana nawashangaa sn el kaingiza taifa hasara kubwa sn leo watu wanamshobokea mwigulu kadanganya sn uma kwa siasa zake za chuki lkn leo watu wanamshobokea ama ndio uhuru jamani kuna ck wataja jua hata kwa lazima kama akili zao zimefika mwisho p.m.b.vu zao wote wanao shabikia siasa kwa sababu ya kupewa hela yao wenyewe
 
Tatizo kuu la Mwigulu ni msimamo wake kuhusu wapinzani. Ni hawataki na angekuwa na uwezo angefuta vyama vingi
 
To me, Mwigulu hana uwezo wa kiuongozi, ni mtu anayependa sana show off. Mwigulu amefanya kazi BOT na baadaye kuwa waziri wa fedha, na katika nafasi zake hizo zote hakuwahi kuwa na impact. Akiwa naibu katibu mkuu wa CCM, alikuwa na uwezo mkubwa wa kuishawishi serikali kufanya mambo kwa umakini na hata kuwakemea mawaziri wanaoabuse power ili kulinda maslahi ya chama na kukitunzia heshima. Lakini katika nafasi yake hiyo hakuchukua hatua yoyote zaidi ya kuwa busy na kuua wapinzani. Mwigulu huyu aliyekuwa anaingeneer mauaji wa wanachama wa CHADEMA, kwenye mikutano leo anataka kuwa Rais, kama katika nafasi ya unaibu katibu wa chama tu aliweza kuwaua makumi ya watanzania kwa nia ya kujiongeza kisiasa, je akiwa Rais, si ataagiza jeshi liue yeyote anayempinga. Mimi niseme tu ukweli kwamba Mwigulu ni janga la taifa. To be sincere, CCM hakuna mgombea mwaka huu. Lets go for UKAWA.
 
... HEKAYA ZA KIBAVICHA NA UPUMBAVU WA ufipa USIULETE KWENYE MAMBO YA MSINGI
Huko ndipo kujieteta kwenu?Hii issue ipo live na wazi kabisa.Its a matter of time mwigulu atarudishwa ground zero kujibu.Leo si unamwona hata yeye ccm inamtia aibu hadi anajaribu kujiweka mbali.
 
Back
Top Bottom