Shukran mkuu kwa msaada wako.Huo ni uzembe wako mwenyewe. Mpaka leo hujui majina ya mtu ni ma3. Elimu hii ya Tz ni majanga tuu. Hapo kufa kifo cha mende tuuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia pale chini kuna pakuchange form four index namba.Nina ndugu yangu amehitimu kidato cha sita ila kuna mtu mwingine amejisajili kuomba mkopo kwa kutumia taarifa namba yake ya kidato cha nne kimakosa na akaachia usajili katikati baada ya kukosea hivyo huyu ndugu yangu kila akijaribu kuaply anaambiwa umeshasajiliwa. Tafadhali naomba ushauri nini afanye ili aweze kujisajili kabla mda haujaisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh....msaada nimekosea ,nimeandika jina lisilo kamil,badala yake nimeandika jina moja pekee ,yaani mfano mzazi anaitwa SHIDA MATATIZO TABU ,nami nimeandika SHIDA.
NINI nifanye ukizngatia nimeshaprint form.
Usihofu hakuna utata. Nafikiri majina kama yanatakiwa yote matatu wangekueleza first, middle and surname.msaada nimekosea ,nimeandika jina lisilo kamil,badala yake nimeandika jina moja pekee ,yaani mfano mzazi anaitwa SHIDA MATATIZO TABU ,nami nimeandika SHIDA.
NINI nifanye ukizngatia nimeshaprint form.
nashkuru ndugu yanguUsihofu hakuna utata. Nafikiri majina kama yanatakiwa yote matatu wangekueleza first, middle and surname.
Mtazamo wangu lakini.
shukran mkuuDuh....
Ukishaprint huwezikubadilisha chochote, we endelea tuu, zaidi omba Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app