Kuhani JF-Expert Member Joined Apr 2, 2008 Posts 2,944 Reaction score 79 Feb 13, 2009 #41 Uwiano Maalum said: Al sahih ni zoea. Click to expand... "Al sahih" ndio nini?
M Mapinduzi JF-Expert Member Joined Aug 23, 2008 Posts 2,418 Reaction score 105 Feb 13, 2009 #42 Kuhani said: "Al sahih" ndio nini? Click to expand... sahihi, fasaha, sadifu.
Kuhani JF-Expert Member Joined Apr 2, 2008 Posts 2,944 Reaction score 79 Feb 13, 2009 #43 Uwiano Maalum said: sahihi, fasaha, sadifu. Click to expand... Ni lugha gani?
M Mapinduzi JF-Expert Member Joined Aug 23, 2008 Posts 2,418 Reaction score 105 Feb 13, 2009 #44 Kuhani said: Ni lugha gani? Click to expand... Kiswahili hicho. Kiswahili fasaha, sahihi au sadifu.
Kuhani JF-Expert Member Joined Apr 2, 2008 Posts 2,944 Reaction score 79 Feb 13, 2009 #45 Uwiano Maalum said: Kiswahili hicho. Kiswahili fasaha, sahihi au sadifu. Click to expand... Neno "al sahih" ni kiswahili chenye maana "sahihi"?
Uwiano Maalum said: Kiswahili hicho. Kiswahili fasaha, sahihi au sadifu. Click to expand... Neno "al sahih" ni kiswahili chenye maana "sahihi"?
M Mapinduzi JF-Expert Member Joined Aug 23, 2008 Posts 2,418 Reaction score 105 Feb 13, 2009 #46 Kuhani said: Neno "al sahih" ni kiswahili chenye maana "sahihi"? Click to expand... al sahih ni neno la kiarabu ambalo kwalo neno sahihi limetoholewa. Kwa maana hiyo al sahih sio neno fasaha la kiswahili. Samahani kwa kuchanganya lugha.
Kuhani said: Neno "al sahih" ni kiswahili chenye maana "sahihi"? Click to expand... al sahih ni neno la kiarabu ambalo kwalo neno sahihi limetoholewa. Kwa maana hiyo al sahih sio neno fasaha la kiswahili. Samahani kwa kuchanganya lugha.
Kuhani JF-Expert Member Joined Apr 2, 2008 Posts 2,944 Reaction score 79 Feb 13, 2009 #47 Uwiano Maalum said: al sahih ni neno la kiarabu ambalo kwalo neno sahihi limetoholewa. Kwa maana hiyo al sahih sio neno fasaha la kiswahili. Samahani kwa kuchanganya lugha. Click to expand... Ahsante sana, sana, kwa kukubali kwamba ulikuwa unatoa mafundisho yenye kupotosha.
Uwiano Maalum said: al sahih ni neno la kiarabu ambalo kwalo neno sahihi limetoholewa. Kwa maana hiyo al sahih sio neno fasaha la kiswahili. Samahani kwa kuchanganya lugha. Click to expand... Ahsante sana, sana, kwa kukubali kwamba ulikuwa unatoa mafundisho yenye kupotosha.