Makosa katika Maisha Yetu

Tuache ya Madhara ya bahat Mbaya,

Haya maneno /vitendo vya makusudi ambavyo tunajua matokeo yake yanaweza leta Madhara ndio haswa tunatakiwa kuyapunguza au kuyaacha.

Mungu atusaidie.
Bila kumung'unya maneno CCM wamelipeleka taifa kubaya, Taifa la watekaji na wapotezaji watu kwasasa watekaji wana baka na kulawiti wanao wateka, uongozi wa kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
 
noma sana ,nipo hapa nashangaa account yangu imekomenti nyuzi mbalimbali dakika kama 40 zilizopita ila cha kushangaza mimi hata sijaingia humu zaidi ya sasaπŸ€”
 
Huu uzi umeniumiza maana kuna jambo najua sio sahihi na ni kosa mbele ya Mungu na sheria lakini inabidi nifanye tu maana sina namna..

Mungu naomba unisamehe after thisπŸ˜”πŸ˜”
Ukiona unajiskia hatia ndani Yako ujue kuna njia sahihi ulipaswa kuitumia kabla ya maamuzi hayo Sasa hiyo njia inakulaumu Kwa Nini hukunitumia
 
Hivi ni kweli huwa tunachagua exactly au hutokea tu kama Bahati nzuri unapata mwema au Bahati mbaya unapata kipengele!?
Binafsi naona mwenza hutokea
uko sahihi hakuna anaechagua mtu kitu kibaya wakat anaona n kibaya ila hutokea tu coz binadam anabadilika ghafla hao wanaouana kwenye ndoa angejua mwenzake kuna siku atamuua kwani angemkubalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…