Makosa 10 aliyotenda Mungu

Hata kama sijui, kuwa makini usije kumwongezea maneno ambayo hakuyatamka.
Vipi hii tafsiri ya

Matthew 2:

29 Jicho lako la kuume likikukosesha, ling'oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.

30 Na mkono wako wa kuume ukikukosesha, ukate uutupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.
 
Kwani walipo huko wodini sii wa kwake??? iweje ujione mwema kisa haipo huko???....jibu swali kwanini wapo wodini???
Mada ya ki "Griit thinka" sana hii mkuu!! Nawezaje kuikopi kama ilivyo hii nikawashirikishe wengine nnje ya jf!?
 
Shetani alikuwa ktk kundi la malaika baada ya kuasi ndo akawa shetani,na ww naona umehasi,tubu kwa jina la mola wako
 
Sasa kuna tofauti gani kati ya kuumbwa kwa shetani na wewe?kumbuka unavuta hewa yake, maji yake, mimea na vilivyo ulimwenguni vyote ni vyake. Na mwisho utarudi kwake halafu kumbuka hata kiburi cha firauni kimeishia baharini. Usicheze na aliekuumba mkuu na kukumbusha tu ni wajibu wangu.
 
Shetani alikuwa ktk kundi la malaika baada ya kuasi ndo akawa shetani,na ww naona umehasi,tubu kwa jina la mola wako
Wakati Mungu anamuumba hakujua kama atakuja kuasi...si anajua mambo ya mbeleni???
 
Bible sio gazette unatakiwa uisome ukiwa umetulia na umuombe Roho Mtakatifu akupe mafunuo yapo mambo complicate kwa tafsiri za papo kwa papo.
 
Pamoja na kua nimesoma heading tu ya uzi huu. Wewe ni punguani na huna akili hata kidogo. Ulaaniwe na uangamie haraka iwezekanavyo
Hayo ni matamanio yako.
 
Mbona ubo* ulimkosesha Daudi na hakuutupa mbali??
Sasa hapo ndio ujue anaposema uukatilie mbali sio kuukata kwa panga bali ni kukatilia mbali kile kishawishi ambacho obvious sio mortal material.
 
Toa majibu ukisoma vizuri utaelewa acha kukariri acha akili yako iwe huru
 
Bible sio gazette unatakiwa uisome ukiwa umetulia na umuombe Roho Mtakatifu akupe mafunuo yapo mambo complicate kwa tafsiri za papo kwa papo.
Kwanini haikwandikwa kwa urahisi tukaielewa???
 
Mimi naonekana na nasikika, umewahi kumwona shetani???
 
Ili ujue kwamba kakosea lazima wewe uwe unajua na kuyaelewa hayo mambo aliyofanya zaidi yake, na pia ujue alipaswa afanye nini badala yake. Je unaweza kujiamini kuthibitisha hilo?
 
Umewaza kibinadamu zaidi kuliko kumshirikisha Roho Mtakatifu. Unahitaji toba kwani uelekeo uendao umeonyesha sura halisi ya yule unayemtumikia ukiwa kama Wakala. Mungu Muumbaji akusamehe.
 
CHAMITON,

Maswali mazuri sana.

Tujadili swali kwa swali.

La kwanza:
Job 47:16, Psalm 239:2-4, 147:5, Proverbs 5:21, Isaiah 46:9-10, 1 John 3:19-20, etc zina support kuwa Mungu anajua KILA KITU; kilichokuwa, kilichopo and kitakachokuwa. So ni kweli kabisa, ALIJUA kuwa njemba itaasi and kuleta sheeda kwetu duniani. I agree.

Kwa nini alimuumba despite kujua hili?

Jibu lake:
Ili mpango wake juu ya binadamu utimie.

Ila unazaa swali lingine hapo: Mpango wake juu ya binadamu ni nini? Bila kujua hili sidhani kama utaweza elewa why He did what he did, create the devil.

So probably ili kupata jibu kamilifu la swali la kwanza inabidi kujiuliza mpango WA Mungu ni nini? Angalizo: Sidhani Kama tunaweza jibu kikamilifu hapa maana akili zetu na zake ni kama ... (Isaiah 55:8-9)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…