Jaribu kuwa consistent katika unachoamini.Je unaweza kuniambia matumizi ya hilo neno (R.I.P) bila kulihusisha na imani za kiroho/huyo "Mungu" usiomuamini?TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!!!
Well said. Umerudi?Duh! We kweli mtambo! Nimesoma tu herufi kubwa!
Hapo nina maana ya kutofungamana na upande wowote....pengine R.I.P ina maana ya REMEMBERED IN PUBLIC, WHO KNOWS???Jaribu kuwa consistent katika unachoamini.Je unaweza kuniambia matumizi ya hilo neno (R.I.P) bila kulihusisha na imani za kiroho/huyo "Mungu" usiomuamini?
Aje hivyo hivyo maana wengi wanazidi kuangamiaKabla ya kutimiza ahadi ya Abrahamu???
Kuhoji juu ya utendaji wa Mungu? endelea kumimina maji kwenye gunia yumkini litajaa.!Acha utoto wa dini -katekisimu, madrasa ambapo huruhusiwwi kuhoji. kuhoji uhalisia wa mambo kuna kosa gani? Inquisitive mind is an essence of scientific discoveries of what you enjoy today!
Umequote uzi wote kwa maneno yako 9 tu! Misuse of resources!Usipo mwamini Mungu huwezi kupata majibu ya maswali yako.
MKULU? unamaanisha huyu wa pale "close to ferry?"Usimlinganishe mungu na mkulu.
Ataweza kwa kuwa hakuna linaloshindikana kwakeKama anashindwa kutunza ahadi ndogo kama hiyo, je ataweza ile ya kuwaweka walio wema peponi???
Ndiyo Mkuu[emoji23]MKULU? unamaanisha huyu wa pale "close to ferry?"