Makosa 10 aliyotenda Mungu

Usipo mwamini Mungu huwezi kupata majibu ya maswali yako.
 
Nakuunga mkono! Kama Mungu aliumba Adam na Eva wawili tu weupe wakazaana. Uzao wao ukawa mweupe, sasa sisi waafrika weusi tulitoka wapi? Ukiuliza unaambiwa unakufuru!
 
Jamani tushafika mpaka huku, kumkosoa rais mmeona haitoshi sasa mmeamia kwa sir God aisee we jamaa ungekuwa karibu yangu ningekutia ngumi
 
hizi ni dalili za kudata.watu mliosoma philosophy na mkaishia njia haya ndo matatizi.hujui usemalo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…