Basi tutamsimamisha fred lowassa
Another Lusinde
Basi tutamsimamisha fred lowassa
Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu
Rufaa ya Lema inaletwa kwa wana Arusha. tutajua kati ya mahakama na wanaarusha nani zaidi.
Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu
km hamjawahi kuona faulo kwenye siasa!mtaziona Arusha! ccm wamepanga kuitwaa arusha hata km wananchi watamwaga damu.Kwani umeya imekuwaje? Inasemekana Lema akisimamishwa,atawekewa pingamizi na chadema hawatakuwa na mgombea! Watafanya nini hapo?Arusha mjini ni mali ya Chadema Magamba mnajidanganya bure ! mtapata aibu kubwa sana.
Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu
kwa Waarusha hata uwe na jina gani wanakutema ni mwiko kuchagua mtu aliyehama chama kama kiongozi atoke cha upinzani kuelekea cha mafisadi katika wakati huu wa uporaji mkubwa wa CCM unaondoa mvuto hata uwe nani huwezi shinda! Mbali ya hayo tutajieni Mbunge yeyote wa Upinzani ukiacha Wassira tangu historia ya vyama vingi aliyegombea jimboni (na si EA assembly) na akashinda!Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu