Makongoro Nyerere, anaweza kuwa mkuu wa mkoa bora kabisa

Glenn

JF-Expert Member
May 23, 2015
65,809
156,946
Huyu mwamba ni mcheshi na mchekeshaji sana, pamoja na porojo zote huwa hasahau point aliyoilenga kuisema.

Kwa ucheshi wake anawafanya wasikilizaji wake kuwa makini na mvuto wa kumsikiliza.

Jambo lingine, amejishusha sana tofauti na wataule wengine wanaopenda kujibashitelize hasa ukizingatia ni mtoto wa baba wa taifa.

Makongoro kwa namna moja anafanana kiasi na Uhuru Kenyata, hana ushamba wa madaraka.

Katika uongozi, ukipata kibali kwa wale unao waongoza ni moja ya mafanikio makubwa sana.
Ninamtakia uongozi mwema sana huyu mwamba.
Hebu jionee hapo chini.


 
Back
Top Bottom