Makongoro Nyerere ampasulia JK!

Makongoro Nyerere ampasulia JK!

Makongoro mwenyewe alikataliwa na Mwl. Hata alipochaguliwa kuwa Mbunge wa Arusha Mwl aliwabeza watu wa Arusha na kusema wanaongozwa na kipofu. "Hana jipya".
Kwani makongoro anataka kuongoza nchi?

Hapa jali ujumbe tu mkuu,ndo la maana hapa.

Kwani waliokubaliwa na mwalimu ndo vipi?Nani? Mr Clean?
 
Hakuwahi kuwa malaika bali aliishi na malaika "Just reminding"
Alikuwa malaika mwadilifu ila tamaa mbaya yakutaka kuabudiwa ikamfanya amuasi Mungu wa kweli, kwanzia uasi
Huo akatambuliwa kama muasi na shetani.
 
Makongoro Mwambie huyo Jk kwani amekuwa hasikii ni zaidi ya kiziwi
 
Ccm haikubaliki jumla, tusidanganyane kabisa. Hata huyo makongoro jk nyerere angesimamishwa kupitia ccm, hata pata kura za kutosha. Labda wachakachue.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom