"Kwa upande wake, Nyerere alisema akifanikiwa katika kinyanganyiro hicho, ataanza kushughulika na kukiimarisha chama ili kiweze kurudi katika misingi yake"
SWALI:
Makongoro anataka kugombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania au mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi?
Nauliza hivyo kwakuwa toka awali ajenda yake kubwa ni kuleta nidhamu ndani ya chama na kukirudisha kwa wananchi. Sijawahi kumsikia akisema atafanya nini kwa watanzania akiwa Rais, ila namsikia na kumkariri atafanya nini akiwa mwenyekiti wa chama.
Tatizo la watanzania sio chama, ni mmonyoko wa maadili, rushwa, ufisadi, uwajibikaji, na uwazi ndani ya serikali. Mengine ni huduma mbovu za kijamii (elimu, afya, maji, n.k). Sasa ajaribu kujikita kuelezea atashughulikia vipi matatizo kama hayo yanayowakabili watanzania.
NB: Ikumbukwe kuwa sio lazima Rais anayetokana na CCM awe mwenyekiti pia wa CCM, ni utamaduni tu uliojengeka ndani ya Chama.
CC: Zakumi
[/QUOTE]Kwani wanaoomba ridhaa ya kuongoza nchi wanaomba kwa wananchi au kwa wanaCcm wenzao? na kama ni kwa wananchi kuna haja gani ya kuwepo kura za nec au CC?
Na kama walikuwa wanaomba ridhaa kwa wanaCcm wenzao kulikuwa kuna haja gani ya kusema utaimarisha uchumi, jembe la mkono litakuwa historia, utapambana na rushwa n.k n.k na wakati hayo ni yakuwaambia wananchi sio wanaccm wenzio?
sasa hauoni kuwa Makongoro yupo sahihi kwa kudeal na chama sio wananchi pia huoni kuwa watangaza nia wengi wameitangulia Ilani ya chama?
{mimi sio ccm }
ukuta2013 Kwa upande wake, Nyerere alisema akifanikiwa katika kinyanganyiro hicho, ataanza kushughulika na kukiimarisha chama ili kiweze kurudi katika misingi yake"
SWALI:
Makongoro anataka kugombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania au mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi?
Nauliza hivyo kwakuwa toka awali ajenda yake kubwa ni kuleta nidhamu ndani ya chama na kukirudisha kwa wananchi. Sijawahi kumsikia akisema atafanya nini kwa watanzania akiwa Rais, ila namsikia na kumkariri atafanya nini akiwa mwenyekiti wa chama.
Tatizo la watanzania sio chama, ni mmonyoko wa maadili, rushwa, ufisadi, uwajibikaji, na uwazi ndani ya serikali. Mengine ni huduma mbovu za kijamii (elimu, afya, maji, n.k). Sasa ajaribu kujikita kuelezea atashughulikia vipi matatizo kama hayo yanayowakabili watanzania.
NB: Ikumbukwe kuwa sio lazima Rais anayetokana na CCM awe mwenyekiti pia wa CCM, ni utamaduni tu uliojengeka ndani ya Chama.
CC: Zakumi
udini,udini,udini,ukisikia au kuona familia au jina la Nyerere vima koya yanagonga pampapasiAmechacha huyo anatafuta mshiko.
makongoro mwenyewe ni GAMBA ajivue kwanza yeye,hakuna aliye msafi ndani ya ccm,ukiwa rafiki na mwizi hata wewe utakua mwizi.
udini,udini,udini,ukisikia au kuona familia au jina la Nyerere vima koya yanagonga pampapasi
! pole sana!
Ulitaka awatembelee ISIS??Mkikosa hoja mnakuja na neno "udini".
Mtahaha kubwabwaja na kuhororoja sana mwaka huu.
Daktari wa Kanoni Padri Dr.W.Slaa anatembelea chama cha demokrasia cha kikristo ujerumani hivi sasa, unalijuwa hilo?
Ulitaka awatembelee ISIS??
hivi huyu braza tangu alipohama arusha alishaacha kupiga kile kitu??
Huyu bwana yuko wazi na anawasema mafisadi wanaokiharibu chama na serikali.anawataja bila woga na wao hawapingi.
Hii timu vipi
1,MAGUFULI
2,MWAKYEMBE (maana nasikia kaingia ulingoni,)
3,NYERERE
kwangu naamini hawa ndo nembo ya ccm machoni pa wengi