Makongoro Nyerere aapa kuwaning'iniza mafisadi CCM

"Kwa upande wake, Nyerere alisema akifanikiwa katika kinyang’anyiro hicho, ataanza kushughulika na kukiimarisha chama ili kiweze kurudi katika misingi yake"

SWALI:

Makongoro anataka kugombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania au mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi?

Nauliza hivyo kwakuwa toka awali ajenda yake kubwa ni kuleta nidhamu ndani ya chama na kukirudisha kwa wananchi. Sijawahi kumsikia akisema atafanya nini kwa watanzania akiwa Rais, ila namsikia na kumkariri atafanya nini akiwa mwenyekiti wa chama.

Tatizo la watanzania sio chama, ni mmonyoko wa maadili, rushwa, ufisadi, uwajibikaji, na uwazi ndani ya serikali. Mengine ni huduma mbovu za kijamii (elimu, afya, maji, n.k). Sasa ajaribu kujikita kuelezea atashughulikia vipi matatizo kama hayo yanayowakabili watanzania.

NB: Ikumbukwe kuwa sio lazima Rais anayetokana na CCM awe mwenyekiti pia wa CCM, ni utamaduni tu uliojengeka ndani ya Chama.

CC: Zakumi

Mkuu kama umesikia basi ulitakiwa kuona ambavyo kwa pamoja vingekurahisishia kufikia hitimisho sahihi kwa kutumia zile njia tano (senses) za ufahamu, bahati mbaya wewe ulisikia tu. Facts;

1. C.M.N Hakusoma ilani yake zaidi ya kutangaza nia yake.
2.Hakuwa anaomba watanzania wamchague bali alikuwa anakiomba chama chake kimpitishe. Alikuwa anaongea na chama chake.
3.Mpaka sahivi hajasema ilani itakuwaje kwani ilani atakayoisimamia haitengenezwi na yeye bali ilani inatengenezwa na chama na inabaki kuwa ni mali ya chama.
4.Chochote alichokisema yeye alikuwa anaongea na chama chake kupitia wanachama wake. Sisi kusema hatujasikia atafanyaje hiki ama mbona hatujamsikia kuhusu kile ni kutokuelewa Maelezo yake aliyosema kwamba ahadi si za mtu, chama kupitia ilani yake ndo kinahaidi na atakayepitishwa ndo atatakiwa kuifata ilani ya chama na si ile yake, na akauliza hivi, itakuwaje nitangaze yangu hapa alafu kwenye ilani ya chama iwe tofauti itakuwaje?.
Sasa kama alikuwa anaongea na chama chake sisi kumbe inatuhusu nini? yeye kama kaona chama chake hayo ndo matatizo ya msingi katika chama chao sie inatuhusuje
? .Tusubiri siku chama kikimpitisha hapo sasa ndo atakuja kwetu watanzania akiletwa na chama ili asimame atwambie sasa, ni nini anataka kuifanyia nchi yetu, huo ndo utaratibu na si kurukaruka tu ilmradi umepewa maiki uongee
 
Kwani wanaoomba ridhaa ya kuongoza nchi wanaomba kwa wananchi au kwa wanaCcm wenzao? na kama ni kwa wananchi kuna haja gani ya kuwepo kura za nec au CC?
Na kama walikuwa wanaomba ridhaa kwa wanaCcm wenzao kulikuwa kuna haja gani ya kusema utaimarisha uchumi, jembe la mkono litakuwa historia, utapambana na rushwa n.k n.k na wakati hayo ni yakuwaambia wananchi sio wanaccm wenzio?
sasa hauoni kuwa Makongoro yupo sahihi kwa kudeal na chama sio wananchi pia huoni kuwa watangaza nia wengi wameitangulia Ilani ya chama?
{mimi sio ccm }

ukuta2013 Kwa upande wake, Nyerere alisema akifanikiwa katika kinyang’anyiro hicho, ataanza kushughulika na kukiimarisha chama ili kiweze kurudi katika misingi yake"

SWALI:

Makongoro anataka kugombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania au mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi?

Nauliza hivyo kwakuwa toka awali ajenda yake kubwa ni kuleta nidhamu ndani ya chama na kukirudisha kwa wananchi. Sijawahi kumsikia akisema atafanya nini kwa watanzania akiwa Rais, ila namsikia na kumkariri atafanya nini akiwa mwenyekiti wa chama.

Tatizo la watanzania sio chama, ni mmonyoko wa maadili, rushwa, ufisadi, uwajibikaji, na uwazi ndani ya serikali. Mengine ni huduma mbovu za kijamii (elimu, afya, maji, n.k). Sasa ajaribu kujikita kuelezea atashughulikia vipi matatizo kama hayo yanayowakabili watanzania.

NB: Ikumbukwe kuwa sio lazima Rais anayetokana na CCM awe mwenyekiti pia wa CCM, ni utamaduni tu uliojengeka ndani ya Chama.

CC: Zakumi[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Mkuu gody, jamaa kakimbia majibu utafikiri katua angaza, teh teh teh
 
[/QUOTE]

Soma tarehe ya habari na tarehe ya post halafu ucomment na sio kujaza server!
 
Last edited by a moderator:
makongoro mwenyewe ni GAMBA ajivue kwanza yeye,hakuna aliye msafi ndani ya ccm,ukiwa rafiki na mwizi hata wewe utakua mwizi.

Kwahiyo baba ako akiwa mvuta bangi ma shoga na wewe utaungana nae Mkuu, sidhani kauli yako kma ipo sahihi, wengine wasafi sema walio madarakani wanawachafua,
 
udini,udini,udini,ukisikia au kuona familia au jina la Nyerere vima koya yanagonga pampapasi
! pole sana!

Mkikosa hoja mnakuja na neno "udini".

Mtahaha kubwabwaja na kuhororoja sana mwaka huu.

Daktari wa Kanoni Padri Dr.W.Slaa anatembelea chama cha demokrasia cha kikristo ujerumani hivi sasa, unalijuwa hilo?
 
Last edited by a moderator:
Mkikosa hoja mnakuja na neno "udini".

Mtahaha kubwabwaja na kuhororoja sana mwaka huu.

Daktari wa Kanoni Padri Dr.W.Slaa anatembelea chama cha demokrasia cha kikristo ujerumani hivi sasa, unalijuwa hilo?
Ulitaka awatembelee ISIS??
 
Last edited by a moderator:
Huyu bwana yuko wazi na anawasema mafisadi wanaokiharibu chama na serikali.anawataja bila woga na wao hawapingi.
 
Makongoro akipita nina imani tutashuhudia mabadiliko makubwa ndani ya ccm, tunashuhudia mabadiliko makubwa ktk utendaji na uwajibikaji wa serikali

The guy is really Nyerere in him

JK chonde chonde tupatieni huyu bwana kwa maslahi mapana ya chama na taifa kwa ujumla
 
Huyu bwana yuko wazi na anawasema mafisadi wanaokiharibu chama na serikali.anawataja bila woga na wao hawapingi.

Hii timu vipi
1,MAGUFULI
2,MWAKYEMBE (maana nasikia kaingia ulingoni,)
3,NYERERE
kwangu naamini hawa ndo nembo ya ccm machoni pa wengi
 
Rekebisha kidogo hapo mkuu
Rais - Makongoro
PM - Magufuli
Makamu - Mzanzibari
 
uzuri wa hiki chama ukijfanya mjuaji tu, siku zinapokaribia lazima utoweke na ukija kurud we mwenyewe unajitoa kwenye kinyang'anyiro
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom