Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

Status
Not open for further replies.

wewe kweli kaza msuli. mwanaasha saizi yako.
 
jamani mahakama ya biashara hapa panaposikilizwa hii kesi kumezungukwa na polisi wengi sana sijawahi kuona...yani na defender zimepaki ulinzi mkubwa kama rais yupo hapo...sasa au wameshapanga matokeo ya kesi wanaogopa reaction ya wananchi?
 
Hii habari inatokea Tanzania penyewe (sio Biharamulo). Nadhani tutakuwa tunapata updates za hata mtu akipiga chafya....
 

Katika hili acha tantalila zako, kama hukumu unayo c utulie? waache watu waongee kadiri wanavopenda!
 

mbona hujaonyesha hizo pumba kichwani mwangu unazodai, watu wanaripoti kwa hiyari, panapojitokeza aina yoyote ya kukinzana na platform hii, itatokea siku jf itakuwa kijiwe cha kujadili mapenzi tu. napinga utaratibu huu. waacheni magamba nao wariport kwa staili yao na kujifariji angalau kwa muda, nasi tutapata kuujua ubongo wao. Ingekuwa vipi kama ritz anazuiwa kuanzisha uzi kwa sababu ya ugamba wake?
 

Acha kujipa maujiko yasiyo na maana, hata sisi tuko zaidi ya unavyojiona wewe. Acha kuwa tapeli la mchana mchana na kukatisha watu tamaa.

Kama hupendi update nenda jukwaa la love connect kuwa watu wanatafuta wachumba, chit chat na MMU huko utakutana na unayoyapenda na ambayo hukumu zake huna.
 
Kaazi kweli kweli, safari lzma ccm wajiju tu.Mungu tupe hilo jimbo.Amen.
 
Aliye chukuwa hoja yangu ajachangia mpaka sasa sijui kama mod yupo makini watu wanauliswa yeye ajibu mpaka sasa kama vp nrudishieni thread yangu npo posta ndo nakaribia hapa mahakamani
Pwaa
 

Hukumu ikoje Matola?
 
Last edited by a moderator:
Aliye chukuwa hoja yangu ajachangia mpaka sasa sijui kama mod yupo makini watu wanauliswa yeye ajibu mpaka sasa kama vp nrudishieni thread yangu npo posta ndo nakaribia hapa mahakamani
Pwaa

Naunga mkono hoja huyu mwanzisha thread huenda hayupo hata Dar....
 
MIMI siyo Mtabiri lakini kwa kesi hii iko wazi kabisa kutabiri chadema jiandaeni kushangilia tu...............
 
Aliye chukuwa hoja yangu ajachangia mpaka sasa sijui kama mod yupo makini watu wanauliswa yeye ajibu mpaka sasa kama vp nrudishieni thread yangu npo posta ndo nakaribia hapa mahakamani
Pwaa
Wewe tupe habari hapa hapa hakuna mashindano ya thread humu. Hata ingekuwa ya kwako hakuna zawadi issue ni kupeana habari tu. Watu wengine kwa ligi hamjambo
 
Nakubaliana na wewe! Hata hvyo ni vema tukajua kuwa madai ni kitu kingine na kuthibitisha madai hayo pasipo shaka ni kitu kingine. Kinachoamuliwa mahakamani ni kama kumekuwa na ushahidi wa kutosha (usio na shaka) kuthibitisha madai hayo. Tusubiri.

Kwani si ushahidi tumeambiwa umewasilishwa tena mpaka wa video katika baadhi ya vipengele? au hauamini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…