Yeye mwenyewe GAMBA. Hakuna ambaye alie wa CCM asiwe gamba. NAni alikuwa anafikiria mtu kama Kingunge ni fisadi, what about Msekwa na ngorongoro yake. Luhanjo Je? CCM wote ni magamba na mauti yao yapo njiani yanakuja kwa kasi ya ajabu.MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Makongoro Nyerere ametangaza kusudio la kuwasilisha hoja binafsi katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho(Nec) mapema mwezi huu kuhoji sababu za watuhumiwa wa ufisadi kushindwa kujiuzulu hadi sasa huku akimtaka Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete kuachana na watuhumiwa hao.
Source: Mwananchi
Mkuu hili suala la JK Kuhongwa SUTI limeniacha hoi sana, hii nchi imelaaniwa!.gamba lipi sasa maana kikwete mwenyewe ngamba mpaka anahongwa suti..kama wanania ya dhati waanze na kichwa..
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Makongoro Nyerere ametangaza kusudio la kuwasilisha hoja binafsi katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho(Nec) mapema mwezi huu kuhoji sababu za watuhumiwa wa ufisadi kushindwa kujiuzulu hadi sasa huku akimtaka Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete kuachana na watuhumiwa hao.
Source: Mwananchi
<br /> <br / unatafuta atention za watu huna lolote.Makongoro songa mbele watanzania tunakuunga mkono.Achana na kelele za MAGWANDA wenzangu.Hawatumii akili kuchambua mambo.Ni mm na Zitto basi.Kama mtanzania ninakuunga mkono bila kujali itikadi ya chama changu.
mkuu sii lazima utumie matusi kila unapopost commets zako. Tumia tu lugha za kistaarabu tutakuelewa pia. Nimeona kwenye thread ingine mara kapakatwa na mwarabu, kwa kifupi michango yako ni full matusi. Assume unasoma na dada yako hapo pembeni.Kumbe hii movie bado inaendelea wakati Starring mwenyewe Nepi ameshainamishwa na Magamba!