Makongoro atangaza vita na Magamba yaliyong'ang'ania

Yeye mwenyewe GAMBA. Hakuna ambaye alie wa CCM asiwe gamba. NAni alikuwa anafikiria mtu kama Kingunge ni fisadi, what about Msekwa na ngorongoro yake. Luhanjo Je? CCM wote ni magamba na mauti yao yapo njiani yanakuja kwa kasi ya ajabu.
<br />
<br />
Hapana.! Sidhani kama familia ya Mwl. Nyerere kuna fisadi..wanaishi maisha ya kawaida na hawana uchu wa vyeo na madaraka, Wanafuata principles za mzee, Keep going Makongoro.
 
mkuu sii lazima utumie matusi kila unapopost commets zako. Tumia tu lugha za kistaarabu tutakuelewa pia. Nimeona kwenye thread ingine mara kapakatwa na mwarabu, kwa kifupi michango yako ni full matusi. Assume unasoma na dada yako hapo pembeni.
kuinamishwa ni tusi au wewe ndo umechafuka kichwani mkuu! sioni tusi hapo!
 
Makongoro songa mbele watanzania tunakuunga mkono.Achana na kelele za MAGWANDA wenzangu.Hawatumii akili kuchambua mambo.Ni mm na Zitto basi.Kama mtanzania ninakuunga mkono bila kujali itikadi ya chama changu.
<br />
<br />
gadafi alikuwa anasema ooh, mapanya, ooh mende ....., kwa kuwa hamjui kilichomtoa kanga manyoya, subirini, mtajua soon and very soon.
 
Back
Top Bottom