Makongoro atangaza vita na Magamba yaliyong'ang'ania

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Makongoro Nyerere ametangaza kusudio la kuwasilisha hoja binafsi katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho(Nec) mapema mwezi huu kuhoji sababu za watuhumiwa wa ufisadi kushindwa kujiuzulu hadi sasa huku akimtaka Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete kuachana na watuhumiwa hao.

Source: Mwananchi
 
anaubavu?

Danganya toto hatutaki maneno
Tunataka matendo tumechoka kusikia
Magamba yamewashinda anzisheni
Wimbo mwingine
 
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Makongoro Nyerere ametangaza kusudio la kuwasilisha hoja binafsi katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho(Nec) mapema mwezi huu kuhoji sababu za watuhumiwa wa ufisadi kushindwa kujiuzulu hadi sasa huku akimtaka Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete kuachana na watuhumiwa hao.

Source: Mwananchi
Yeye mwenyewe GAMBA. Hakuna ambaye alie wa CCM asiwe gamba. NAni alikuwa anafikiria mtu kama Kingunge ni fisadi, what about Msekwa na ngorongoro yake. Luhanjo Je? CCM wote ni magamba na mauti yao yapo njiani yanakuja kwa kasi ya ajabu.
 
Makongoro songa mbele watanzania tunakuunga mkono.Achana na kelele za MAGWANDA wenzangu.Hawatumii akili kuchambua mambo.Ni mm na Zitto basi.Kama mtanzania ninakuunga mkono bila kujali itikadi ya chama changu.
 
Hii ndiyo shida ya unafiki ama kutumikia makundi yanayohasimiana ndani ya CCM. Kabla ya kwenda NEC Taifa,safisha nyumba yako kwanza CCM - Mara.
 
Huko ni kupoteza muda tu kua ndani ya CCM kwani hakuna hata mmoja alie msafi ndani ya hicho chama
 
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Makongoro Nyerere ametangaza kusudio la kuwasilisha hoja binafsi katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho(Nec) mapema mwezi huu kuhoji sababu za watuhumiwa wa ufisadi kushindwa kujiuzulu hadi sasa huku akimtaka Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete kuachana na watuhumiwa hao.

Source: Mwananchi

mh yeye makongoro sio gamab?hatumiwi na magamba kwa njia yoyote?hiyo ni dalili kuw ameshaingia kwenye makundi pia....yaani nae ana mwelekeo flan ambao sidhan kama unatofauti na anaowatarajia au kuwataka wajivue magamba.moyoni kwake anajujua
 
Kumbe hii movie bado inaendelea wakati Starring mwenyewe Nepi ameshainamishwa na Magamba!
 
Jitahidi bwana Makongoro utuondolee huu msalaba. Watanzania tunataabika nao tunaomba uupeleke pale mlipoiacha NCCR MAGEUZI.
 
Makongoro songa mbele watanzania tunakuunga mkono.Achana na kelele za MAGWANDA wenzangu.Hawatumii akili kuchambua mambo.Ni mm na Zitto basi.Kama mtanzania ninakuunga mkono bila kujali itikadi ya chama changu.
<br /> <br / unatafuta atention za watu huna lolote.
 
Kumbe hii movie bado inaendelea wakati Starring mwenyewe Nepi ameshainamishwa na Magamba!
mkuu sii lazima utumie matusi kila unapopost commets zako. Tumia tu lugha za kistaarabu tutakuelewa pia. Nimeona kwenye thread ingine mara kapakatwa na mwarabu, kwa kifupi michango yako ni full matusi. Assume unasoma na dada yako hapo pembeni.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom