Makonde kama haya watayaweza?

Makonde kama haya watayaweza?

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
makonde.JPG
g.jpg
g.jpg
g.jpg
 
Watu wanavipaji vyao usiwakatishe tamaa kiasi hicho.

Hakuna mwenye kipaji cha kupigana (professional) ngumi, ni njaa tu kutafuta pa kufia! Labda kukati viuno, hiyo tunaweza sana- kama ingelikuwa ngoma ningeliwaelewa vizuri sana, sio ngumi!
 
Hakuna mwenye kipaji cha kupigana (professional) ngumi, ni njaa tu kutafuta pa kufia! Labda kukati viuno, hiyo tunaweza sana- kama ingelikuwa ngoma ningeliwaelewa vizuri sana, sio ngumi!

Umenikumbusha kuna ka msemo nilikasika Mjini msingi kiuno ha!ha!ha!
 
Siko fit aisee nahisi homa tangu Jana hapa nagaagaa tu kitandani, nimeshindwa kwakweli

Pole sana mkuu Tuko pamoja sana ningekuwa mitaa yako lazima ningekuja kukucheki sasa sema ndo hivyo tena tuko mbali kidogo lakini one day lazima tutaonana mkuu.
 
Pole sana mkuu Tuko pamoja sana ningekuwa mitaa yako lazima ningekuja kukucheki sasa sema ndo hivyo tena tuko mbali kidogo lakini one day lazima tutaonana mkuu.

Thanks for so much caring NAPITA niombee tu isijeniuwa hii homa,
 
Last edited by a moderator:
Huyo mzungu ana meno myeupe myeusi myeupe myeusi..........au ni nini........?
 
Kwanza nimecheka sana Aisee NAPITA umetenda haki kulinganisha hawa wetu naona hawa wetu hata lishe itakuwa ni Tatizo maana.........!!!!
 
Huyo mzungu ana meno myeupe myeusi myeupe myeusi..........au ni nini........?

Kavaa vile vidude vya kuzuia kujiuma ulimi sijui kwa jina la kitaalam vinaitwaje Napita njoo uku utuambie vinaitwaje.
 
Back
Top Bottom