Kuna jamaa mmoja aliniambia mabinti huwa wanapenda wanaume wa ajabu ajabu, vinyozi, marasta, makonda na vijana wachafu wachafu wa vijiweni, sijui wanawapa mapigo ya ukakika zaidi kule wale wastaarabu maana wanawashobokea kwelikweli! Utakuta kabinti kameganda saluni masaa hata hakanyolewi mmmh...............