Makonda: Zitto ndiye mwanasiasa makini kwa upinzani

He is such an intelligent politician from whom we can learn about politics and leadership, not.
 
100% Ukimwona adui Wako anakusifia fikiria Mara Mbilimbili, Vile Vile Ukimwona adui anakuponda basi ujue huko njia Sahihi.
 
Mwanaccm yoyote ukimuuliza atakuambia zitto,shibuda,mrema na cheyo.

Wote ni CCM, lazima angemtaja huyo tu.
wakati mwengine wekeni ushabiki pembeni. Zitto huwezi kumlinganisha na akina lema, sugu, mbowe na wanaofanania.
labda Lipumba, slaa, mbatia, lisu na mdee. kuweni wazi. sio kila kitu kubisha, au nyie ndo yale mazezeta na misukule ya mbowe nini? maana mnapinga hata kwa vitu vilivyowazi.
 
Ukitaka kumjua mtu tizama wanaomuunga mkono.Na ndege wa mabawa yanayofanana huruka pamoja.

Ni lazima Makonda amtetee kibaraka wao aliyeko upinzani.Siku zote wanasiasa wanaosifiwa na CCM ni Mrema na Zitto.

Kwi kwi kwiiiiii
 
Back
Top Bottom