Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,900
- 1,511
Watoto wa Kota utawajua tu akili zao.
We si Useme Lengo lako,aisee BAVOCHA ndio maana Nchi hampewi,aisee akili hovyo kabisa,mtakuja na kila mbinu,maana hii ni zaidi ya mtoto wa Kindergarten
Umeeleweka Think Tank wa BAVOCHA
watu wameshindwa kuielewa post mkuu...weee mimi sipo kwani yule si anaitwa PAUL MAKONDA
mkuu,umeielewa vibaya post...rudi shule mkuuuchochezi
mkuu,umeielewa post vizuri sana,kula likes zangu toka moyoni....waache walio dakika 3 mbele..kwani makonda wameenda shule mkuu?
wengi c walikimbia shule na mda mwingi huutumia kuvuta bangi na kula ugoro. au wewe unaongelea nn??
makonda husimama milangoni kuwasaidia madereva kukusanya pesa toka kwa abiria,lakini wapiga debe ni wale wanao waita abiria kuingia ndani ya magari pindi magari bado yapo stand ama kituoni.Mi nachanganya kati ya Makonda na Wapiga debe?
nimeipenda comment yako buuuuuuuuree!!!!!!!!!!,take my likesPumbaaaafu unazungumzia makondaktaaaaa acha nilale
aiseeeeeee...mkuu umenipa la saizi yangu....kuwapa likes za moyoni wanaume wenzio nawe utakuwa kama makonda wa Mombasa!
mkuu,hapo umemaliza kabisa...Wengi hawana tofauti na wasemaji watimu zampira kama masao bwile, Hadji manara na Jerry muro
Wakuu,salamu ziwafikie...
Nimeamua kuja hapa jamvini ili niweze kuwapa tabia na uwezo wa kufikiri(akili ya kufikiri) kwa hawa ndg.zetu(makonda) kulingana na utafiti nilioufanya kwa muda wa miezi 7 katika majiji 5(Mwanza,Arusha,Mbeya,Tanga na kisha kumalizia na Dar es Salaam),manispaa 6 za miji(Morogoro,Moshi,Musoma,Dodoma,Iringa na Tabora)..
Kulingana na utafiti nilioufanya nimebaini/kugundua kuwa makonda wote sio wa Dar,Mbeya hata kule Musoma akili zao huongozwa na:-
1:Matukio kulingana na uendeshaji na mapenzi ya dereva.
kama derva akiendesha mwendo wa taratibu nao humshangilia dereva hata kama abiria wanalalamika kuchelewa kufika.Vivyo hivyo na kama dereva ataongeza mwendo zaidi na abiria kulalamikia mwendo pamoja na uhai wao,utasikia konda akipayuka"suka(dereva),kaza mguu zaidi tumechelewa pesa"
2:Ni wahamasishaji sana wa kutaka pesa za watu kabla ya safari kuanza au katikati ya safari lakini ni wagumu sana kutoa za kwao wakati wote(yeye na abilia)wamo ndani ya gari..cha kusikitisha zaidi wao(makondakta) huwa wagumu kwenye kurudisha "change" au kufidia abilia ajari zinapotokea.
3:Makonda wote sio wa Dar,Morogoro hata Dodoma ni watalaam sana wa matusi na kujifanya wababe wakati hamnazo.Huwa wakipita kuchangisha nauli,hutoa kauli tata,zenye maudhi,matusi hata pasipostahili kutusi.Nilijaribu kumuhoji kondakta mmoja,je huwa wanaenda kupata mafunzo ya matusi na kuigiza ni wababe wakati sio?majibu niliyapata ni kwamba"ukishajiingiza na kufanya kazi ya ukonda ndani ya chama cha makonda,ni lazima utafundwa na watangulizi wako(viongozi wa makondakta)"konda huyo alijibu.
Je,kwa utafiti wenu huko mliko,makonda wenu wakoje?
la hasha hatuja critisize,bali huo ni utafiti uliofanywa kulingana na tabia zao...kama na wewe utafanya utafiti kwa watu wanaofanya kazi kama yangu,pia utakuja na majibu yako...usipanic mkuunaona mnapambana ku criticize kazi za watu vipi akili za watu wanaofanya kaz kama yako
Umekurupuka bila sababu. Ebu jifunze kusoma basi... Bavocha ndo kitu gani sasa.. Hapa wana zungumziwa makondakta... Huyo wako ni yupi?Watoto wa Kota utawajua tu akili zao.
We si Useme Lengo lako,aisee BAVOCHA ndio maana Nchi hampewi,aisee akili hovyo kabisa,mtakuja na kila mbinu,maana hii ni zaidi ya mtoto wa Kindergarten
Umeeleweka Think Tank wa BAVOCHA
Ndo madhara ya kuingia ndani bila bila kubisha hodi... Muda wote roho juu anawaza kusemwa tumkuu,mbona umepanic,au unaudhihirishia ulimwengi kuwa wewe ni KIHIYO?we umesoma na kuelewa post au umecomment tu?
Huku aisie Fanya kazi na asile.. Hapo unategemea nini mkuu?! Ndo mana wanakua na hasira na mara zote wanakurupuka tu.lumumba nasikia kima kimeshuka kutoka buku 7 mpaka buku 5 hivi ni kweli??
na hao ndio wanategemewa kutoa michango ya mawazo ktk ujenzi wa chama....kazi bado ipo..Ndo madhara ya kuingia ndani bila bila kubisha hodi... Muda wote roho juu anawaza kusemwa tu