Kauli zenu zinatudhalilisha wanawake watanzania. Siwezi kulumbana kuhusu hili. Jaribuni kupeleka hoja zenu majumbani!Huyo fisadi uliyemwongelea hana mke?? Kwanini mke akiona kuna mipesa michafu inaingia asitoe taarifa kwa vyombo vya usalama au asimwonye mmewe?? Wewe mkeo akiwa anakuja na mipesa nyumbani na kubadilisha magari mbona unashupaza shingo kwa kudhani anahongwa.. Tena unampiga mpaka stop au kumfanyia hila aache kazi akae nyumbani