Namuomba Rais a revisit sababu zake za kumteua huyu mkuu wa mkoa. Umefika wakati wakumpangia kazi nyingine.Hapo mkuu wa mkoa ameteleza kidogo ila tumsamehe, nadhani ana nia njema ila jinsi ya kufikisha ujumbe ndiyo ameyumba kidogo, nawaomba ukawa wenzangu tuweke Silaha chini tumpe muda mkuu wa mkoa apate uzoefu wa kutosha
Wanaogopa kutumbuliwa.Namuomba Rais a revisit sababu zake za kumteua huyu mkuu wa mkoa. Umefika wakati wakumpangia kazi nyingine.
Wanawake wenzangu mko wapi? Mbona kuna pattern kutokuthaminiwa awamu hii?
Kuna ukweli kiasi katika kauli yake.