chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewashangaa wanaowatetea ombaomba wanaobaki barabarani kwa kigezo cha kuwa ni haki yao ya kibinadamu na kuwaita vichaa wanaotakiwa kujipima akili kwa kuwa serikali imetoa elimu bure na inafanya juhudi za kukusanya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali ili wakae kwenye madawati na hakuna mantiki ya wao kuendelea kubaki barabarani