so kama kuna mgonjwa yuko hatarini kupoteza maisha ni heri afe kuliko mwalimu anaye wahi shule kushika namba kwa walio wahi na ku chelewa?Mwalimu kwanza wengine wafuate, hata ww umepata kufahamu kusoma na kuandika kwa kufundishwa na Mwalimu, na hata hao Dr, nurses, Prof. Wote wmefundishwa na Mwalimu!!
Yaani hapo sipati picha konda anataka nauli yake alafu unamwambia we mwalimu, anaanza kugomba sasa kwa sauti kubwa watu wote wanakugeukia wewe, utatamani uwe sisimizidawa pekee ya haki na heshima kwa walimu ni kuwaongezea pesa ya nauli kwenye mshahara wao , hili jambo ni udhalilishaji mkubwa sana , mwanafunzi alipe 200/- halafu mwl na midevu yake bure !
Umesahau kuna walimu wameolewa na kuoa maasikali/manesi/ nawatu wengine? amabacho ni kikwazo kukaa amzingira ya shule?Kawaida ya Walimu wanatakiwa kuishi kwenye mazingira ya shule, huko wanakoenda kuishi sidhani kama Serikali inawapangia Walimu wakaishi mtaani.
Itakuwa nchi ya ajabu. sana! Yaani mtu akurupuke atoe agizo litekelezwe tuHapo kuna ubunifu gani?naona mnaota tu nani akubali kusafirisha walimu kwa agizo la makonda?makonda ni nani ndani ya taifa la tanzania?
Itakuwa nchi ya ajabu. sana! Yaani mtu akurupuke atoe agizo litekelezwe tuHapo kuna ubunifu gani?naona mnaota tu nani akubali kusafirisha walimu kwa agizo la makonda?makonda ni nani ndani ya taifa la tanzania?
Hao hawana shida ya usafiri maana wana magari yao na yale ya shulena walimu wa private school nao vipi amewafikiria katika mpango wake huu?
Tuwe tunafikiria nje ya boksi kabla hatujapinga mambo ya msingi. Bila Mwalimu hao Madaktari na manesi wangefikia hapo walipo!!?????Mwalimu huyu huyu au mwingine? Hakuna kitu kibaya kama kuwa biased, hivi Madaktari na Manesi nao hawastahili? Na wengine je?
Hakuna kitu kama hicho, yeye kaamua kuongea kwa kuwa ana mdomo tu. Kuna walimu wanafundisha kinondoni lakini hawaishi kinondoni na pia kuna walimu wanaishi kinondoni lakini wanafundisha wilaya nyingine Labda atoe hela ya mfukoni kwake awape walimu wanaofundisha shule za kinondoni.vipi kuhusu walimu wa wilaya ya ilala, temeke na bara nao watakuwa katika mpango huo wa makonda au ni kinondoni tuu ndo wahusika?
Hahahaa..... Kazi ipo hapo!Umesahau kuna walimu wameolewa na kuoa maasikali/manesi/ nawatu wengine? amabacho ni kikwazo kukaa amzingira ya shule?
Ongezeko la mshahara linategemeana na Kiwango cha ukuaji wa uchumi hivyo tukaze kwanza buti kwenye uzalishaji na exportnHebu ongezeni mishahara wa wafanyakazi wote wa umma, achen ujinga huu wa huyu bure yule alipe. Hiyo kodi mtawasamehe? Wanafunzi je?
Ooops! ManesiMadesi???
Mi sio mchumi hivyo siwezi kujifanya naelewa sana. Ila kwa akili za kawaid bila shule, kama mapata ya serikali yanaongezeka kupitia kodi kama tunavyoelezwa, je haiwezi saidia kuongeza mishahara? Kama unataka uadilifu na ufanisi, je? motisha si utasaidia kwa watumishi wa umma?Ongezeko la mshahara linategemeana na Kiwango cha ukuaji wa uchumi hivyo tukaze kwanza buti kwenye uzalishaji na exportn
Kuna baadhi ya kazi ukiwaongezea mshahara wataacha hio kazi zenyewe...polisi, waalimu .. Wanatakiwa waishi hivyo hivyo...Mi sio mchumi hivyo siwezi kujifanya naelewa sana. Ila kwa akili za kawaid bila shule, kama mapata ya serikali yanaongezeka kupitia kodi kama tunavyoelezwa, je haiwezi saidia kuongeza mishahara? Kama unataka uadilifu na ufanisi, je? motisha si utasaidia kwa watumishi wa umma?
Ulivyoanza kuandika hivyo nikajua unakuja na bonge la point kumbe unaleta hadithi za kuku na yai kipi kilitangulia! Nadhani wewe ndio unatakiwa kufikiri not only nje ya box but mbali na box! Kwa hali ilivyo ukishaanza kuwabagua watendaji wako kwa kiwango hicho ni hatari sana, labda angesema within Manispaa ndio kuwe na incentives katika idara ya elimu especially kwa Walimu; yaani baadhi ya mafungu ya Walimu wanayokusanya yaidhinishwe kupewa motisha ambapo mambo hayo yasingeweza kuwagusa wengine maana huo ni uamuzi wa idara moja. Ila ukitoka na kusema mtoto huyu atapanda gari bure na wewe utalipia nauli while wote ni wako utakua unakosea sana. Nadhani nimewaza "ndani ya box" eeeghh??? Good morning MpwaTuwe tunafikiria nje ya boksi kabla hatujapinga mambo ya msingi. Bila Mwalimu hao Madaktari na manesi wangefikia hapo walipo!!?????