Kuna watu mnaishi kwakukariri kupondea kila kituHebu afikiri critically. Hivi walimu wanachohitaji ni kulipiwa mia nne za nauli kweli? Amwambie mkurugenzi wake wa manispaa awalipe walimu wake madai yao ya likizo za dec 2013 na 2014 hadi dec 2015. Aanzishe miradi ya ujenzi wa nyumba za walimu aachane na madarasa na madawati na hilo ndio suluhu ya kuwahi kazini. Aache kufikiri kiduchu.
Du!Kama namuona vile Mwalimu Nanaa anavyozuiwa kupanda daladala hadi lijae kwanza!!!
Madesi???Madaktari na madesi pia wasafiri bure ni watu muhimu sana
Mkuu wa wilaya ya.kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini "kama njia ya kuwasaidia kuwahi" na pia "kuwapunguzia makali ya maisha".
Alaaa kumbe kutoa walet mfukoni na klipa nauli kunawanachelewa waalimu kuwahi kazini? Halafu mbona waalimu mnawafanya kama walemavu fulani?
aibu ya mwanzo isitufanye tuendelee kuaibika .Mbona mjeda na midevu yake bure...
Mbona mishahara inatofautiana pakubwa tu!!!?kama umuhimu wao unafanana basi wawalipe mishahara sawa,sio mwalimu mwenye degree anaanza na laki saba,mwingine mwenye elimu sawa na mwalimu anaanza na laki tisa,hapo usawa uko wapi!!!?...mtafanyaje ili kondakta aridhike kumsafirisha mwalimu bure? na kwa nini manesi nao wasisafiri bure?, kwani wao hawana umuhimu kwenye jamii? na kwa nini mtu mwenye mshahara asafiri bure?,na kwa nini isiwe wanafunzi ndio wasafiri bure?
na daktari nae ni muhimu sana nae asafiri bure,dereva anaweza kupata dharura ya ugonjwa daktari akamhudumia akapata nafuu mkaendelea na safari.Mimi naona ni Good idea, Kama mwanajeahi au askari anasafiri bure.. Kwa nini mwalimu asidafiri bure na yeye? Wawe na vitambulisho tu... Mwalimu ni mtu muhimu sana ...
Mkuu wa wilaya ya.kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.
Makonda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kumuaga mke wa raisi mwl Janet Magufuli ambaye amekiri kuwa kwa sasa anamajukumu mengi hasa yakumsaidia mheshimiwa raisi.
Sasa hapa najiuliza hawa wamiliki wa magari watakubali? Na je walimu watakuwa na unifomu.au watalazimika kila wakati kuonesha vitambulisho? Na je hilo litakuwa suluhisho la kudumu? Na je watumishi wengine wao watajisikiaje ? Source Azam tv- habari ya saa 2 usiku.
vp kuhusu waaguzi na madaktari?Mimi naona ni Good idea, Kama mwanajeahi au askari anasafiri bure.. Kwa nini mwalimu asidafiri bure na yeye? Wawe na vitambulisho tu... Mwalimu ni mtu muhimu sana ...
Amewasaidia nini walimu? Kwanza ni nani aliyemwambia kwamba tatizo kubwa la waalimu ni hizo nauli za daladala? Watu wanafanya kazi muhimu serikali inatakiwa iwape maslahi mazuri kulingana na umuhimu wa kazi wanayofanya. kwanza hakuna mttu anayetaka vitu vya burebure labda wewe kwani bure ni kama udhalilishaji tu. Yeye amekurupuka tu, hana uwezo na mamlaka ya kutoa tamko kama hilo kisha litekelezwe.Amkubushe kwaza Magu ahadi za laptop kwa walimu lini itatekelezwaHakuna DC Anayeijua Kazi Yake Na Kubobea Kama Paul Makonda. Hongera Kwa Kusaidia Walimu WETU.