Makonda vs ITV

Ni ujinga kujigeuza tume ya Utumishi wa umma ili ukague vyeti vya Mkuu wa Mkoa, si muhoji kwanza vyeti vya Mbowe?
 
BASHITE kuna siku aliongea mbovu dhidi ya ITV, ndio maana wanampuuza tu!
 
Ni ujinga kujigeuza tume ya Utumishi wa umma ili ukague vyeti vya Mkuu wa Mkoa, si muhoji kwanza vyeti vya Mbowe?
Kwahiyo hiyo TUME YA UTUMISHI WA UMMA haiko hai Tanzania ili ifuatilie hizi tuhuma dhidi ya MAKONDA (DAUD ALBERT BASHITE). Mpaka atajwe asiye kipenzi cha BWANA MKUBWA?
 
Sasa tukio lilirushwa mubashara kabisa na vituo vitatu vya tv na redio kadhaa bado mnataka itv ionyeshe tena marudio
 
hiyo siyo habari ni udaku tu
 
Acha unaa wewe. Nenda ofisi zao kawaulize watakuwa na majibu mazuri sana ya kukuridhisha.
 
Yeye mwenyewe Bashite tatizo amekuwa biased na media anazotumia na ndio maana media nyingine zinampotezea tu kutokana na hiyo tabia.
Zinajulikana
 
Hili jambo ni kuanzia kwenye kampeni 2015 chombo hiki kilikuwa na mtazamo wake,lakini hata hivyo ni uhuru wa kila mtu hapa Tanzania kuamua anachotaka kufanya ilimradi usivunje sharia za nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…