Makonda: Ujenzi wa Dar es Salaam ya viwanda umeanza rasmi

Shhhhhhhh, hii ni baraka toka kwa sizonje na pia tafadhali makaburi hayafukuliwi,kwa nini unataka kufukua?
 
Dili hilo,
*RC MAKONDA: UJENZI WA DAR ES SALAAM YA VIWANDA UMEANZA RASMI*

Ama kwa hakika kila mmoja wetu anaifahamu dira na dhamira ya serikali ya awamu ya *tano ya Dr. John Pombe Magufuli ya kuifuta historia yetu ya aibu ya muda mrefu ya kuwa na taifa la wachuuzi kwa kuligeuza kuwa taifa la wazalishaji kupitia kuchochea uanzishwaji wa viwanda vya kutosha chini ya mwamvuli wa sera ya Tanzania ya viwanda.*

Ni kwasababu hiyo tu, sisi watendaji wake aliotuamini na kutupatia dhamana, hatuna budi kuendelea kuwaza zaidi, kutenda zaidi na kushirikisha washirika wengi zaidi ili kwa pamoja tuikamilishe ndoto hii ya Rais wetu mpendwa.

Kuelekea kutimiza azma hii *tayari ninapozungumza nimekamilisha maongezi na mshirika wetu wa maendeleo Azimio Housing Estate kampuni ambayo imekubali kutupatia eneo lililopo Kigamboni lenye ukubwa wa ekari 1500 la thamani ya zaidi ya bilioni 121 na milioni 470 litakalotumika kama eneo maalumu nitakaloligawa kwa wajasiriamali zaidi ya 3,000 kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vidogo vya idadi hiyohiyo.* Pamoja na mambo mengineyo mpango huu *unakusudia kuwasaidia wamiliki wa viwanda vidogo kupata maeneo yao ya kufanyia kazi ili kuwapunguzia gharama za kukodi maeneo, kuwaepusha na usumbufu wa kukaa maeneo yasiyo rasmi pamoja na kuwapatia uhakika wa kuwa na anuani (address) za kudumu.*

Kimsingi chini ya utaratibu huu *kila mmiliki wa kiwanda kidogo tutampatia Sqm 2,000 hivyo eneo hilo litabeba viwanda vidogo zaidi ya 3,000 ambavyo vitatengeneza ajira za moja kwa moja zisizopungua 15,000 zitakazoambatana na ajira zisizo za moja kwa moja zipatazo 43,000.*

Kwa namna ya kipekee niendelee kuwashukuru Azimio Housing Estate ambao *wameendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano ambayo Mpaka sasa imedhihirisha ni kwa kiasi gani uongozi wake unafanya kila jambo kwa kuzingatia maslahi mapana ya wananchi wake.*

Na mfano wa hili ni mdogo tu, badala ya kuhangaika kuomba ekari zote 1500 kwa ajili ya wamiliki hawa wa viwanda vidogo wanaopambana kubadili historia za vipato vyao usiku na Mchana ningeweza kujiombea hata ekari 10 tu kwa ajili yangu na mke wangu nikatulia.

Itoshe tu kusema kwamba, *maamuzi ya kutanguliza maslahi ya wananchi ndio yameufanya mkoa wangu Mpaka sasa kuendelea kutekeleza miradi yenye thamani ya zaidi ya bilioni 160 ambazo nimezipata kwa wadau wa maendeleo waliotuchangia na kufanikisha utekelezaji wa miradi hiyo inayojumuisha ujenzi wa wodi tatu kubwa na za kisasa zenye ghorofa tatu tatu, theatre kubwa za upasuaji, hospitali kubwa ya Chanika ya zaidi ya bilioni 8 za kitanzania, Makao Makuu ya kisasa ya Bakwata ambayo yapo katika hatua za mwisho, madarasa, barabara, mahakama 20 za mwanzo na Vituo 20 vya polisi.*

Na kwa ushahidi wa haya machache niliyoyataja ibaki tu kuwa ushahidi ya kwamba, *utajiri wa Makonda ni wa watu kwa Maendeleo ya watu kwani Dar es Salaam tuitakayo ipo mikononi mwa wanadar es salaam wenyewe*.
Dili hilo, wamepata mtu wa kuwauzia ardhi yao, basi.
 
Big up brother paul,chapa kazi usisumbuke na malofa .
 
anachokifanya makonda lazima wapinzani wapinge kwani akifanikiwa kwa 100% basi chadema haitopata hata mbunge mmoja kutoka dsm 2020.
 
Nina swali fupi. Hivi Tanzania tuna sheria inayoruhusu mkodishaji wa ardhi kuigawa/kupeana ardhi anayoikodi kwa yeyote bila kupitia Wizara ya Adhi?
 
Vi wonder!!!!!!! Wonders shall never end........
Anawakumbatiaaa walio wachafu na miradi michafu!!! Ile report ikitoka ya ubadhirifu wa NSSF na Azimio Dege Village Project siju atajibu nini maana amesema wapo tayari kupokea miradi kama hiyo ila sio chaka la walio wachafu....sasa Azimio na Ikqbar ni wasafi????
 
Hivi suala la viwanda si lipo chini ya wizara ya viwanda na biashara? makonda kwanini anaingilia majukumu ya waziri wa viwanda na ardhi? suala la mgawanyo wa ardhi lilipaswa kusemwa na waziri Lukuvi sio mkuu wa mkoa.

Cc: Chakaza, Pascal Mayalla.
 
Back
Top Bottom