Makonda: Tumeandaa Semina Ya Wajane

Juuchini

JF-Expert Member
Dec 10, 2018
1,300
1,659
Ni Tarehe. 4/4/2019
Mahali: Mlimani city
Changamoto:
>Mirathi
>Malezi
>Kipato
Wote mnakaribishwa.
 
Jamaa uwa kama anatumia bangi si bure

Sio lazima ufanye kila kitu ndio uonekane unajua sana

Unaweza fanya kitu kimoja ukakumbukwa milele..

Baba wa taifa anakumbukwa sana kwa kitu kimoja tu kuliunganisha taifa likawa moja na kuongea lugha moja ..

Ndio heshima yake kuu ingawa Waliomfuata wameondoa image yake na maono yake .....

Makonda yeye kila kitu anaweza fanya anaweza sema ndio maana anashindwa kila kitu.

Mjane gani ana ubavu wa kuingia mliman city aache kuuza mihogo kupeleka watoto St.kayumba aende kupoteza muda wake kwenye polojo...shame
 
Mlango wako wa kugawa viungo vya bandia kwa walemavu ulimaliza?
Mpango wa kuwasaidia wanawake waliotelekezwa na watoto ulimaliza?
Mpango wa kusimamia usafi wa jiji kwa kutumia mgambo hadi wakapiga MTU na kuzimia ulimaliza?
Mlango wa kukamata mashoga ulimaliza?
Madawa ya kulevya?
Tezi dume?

Acha kutafuta kiki...watu hawakutaki unaforce wakutake..na hakuna jambo utalofanya ukalimaliza.tunakujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unakosa uzalendo
 
IMG_20190322_140936.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom