Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 752
- 798
Waulize walionufaika na misafara yake watakwambia,Vichwa vingine vimejaaa matope tu kichwani. Sasa ninini cha maana Makonda amefanya na hiyo misafara ya kipumbavu?
Hamna kitu bwana ni usanii mtupu. Alikuja Jimbo la Kawe 3 weeks ago. Akamuahidi Mbunge Askofu Gwajima Makatapila 20 kwa ajili ya kurekebisha barabara zilizoharibika na mvua.Waulize walionufaika na misafara yake watakwambia,
Swali: Unafikiri wale ote wanaosafiri ktoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ili awasikie changamoto zao unawazidi akili?
SawaHamna kitu bwana ni usanii mtupu. Alikuja Jimbo la Kawe 3 weeks ago. Akamuahidi Mbunge Askofu Gwajima Makatapila 20 kwa ajili ya kurekebisha barabara zilizoharibika na mvua.
Mpaka leo nipo hapa sijaona katapila hata moja.
Tanzania ni nchi ya wajinga wengi, endeleeni kupumbazwa
Afadhali vilivo jaa matope kuliko chako umejaza mavi kinachokusumbua ni chuki na roho mbaya .Vichwa vingine vimejaaa matope tu kichwani. Sasa ninini cha maana Makonda amefanya na hiyo misafara ya kipumbavu?
Atagombea na kushinda. Kazi aliyoifanya kuituliza nchi na kuijenga kiuchumi inajiuza yenyeweNataka kuuliza Hivi samia atagombea mwakani.
Atagombea na kushinda. Kazi aliyoifanya kuituliza nchi na kuijenga kiuchumi inajiuza yenyewe
RisitiKatibu mwenezi wa CCM Taifa bwana Paul Makonda akiwa analia kwenye kaburi la Hayati Magufuli wilayani Chato ameapa hatakuja kumkana wala kumsaliti Hayati Magufuli hata kama atawekewa bastola kichwani.
Makonda amesema Magufuli ni role model wake katika kulipenda na kulitumikia taifa lake mpaka kufa.
Katibu mwenezi huyo amewataka wanaomchafua Magufuli kwa mabaya wajaribu kuyataja na mazuri yake.
===
Paul Makonda ambaye ni Katibu mwenezi wa CCM amesema hatukuja kumsaliti Magufuli hata akiwekewa bastola kichwani. Amesema Magufuli alikuwa ni mwalimu wake, rafiki na mshauri.
Makunda amesema hayo baada ya kutoka Chato alipoenda kuzuru kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli.
Aidha amesema wanaotaka kumgombanisha Rais Samia na Magufuli hawatoweza kwa kuwa uteuzi wa Makonda kwa nafasi ya uenezi wa chama ni kielelezo tosha cha kuwa Samia hana chuki na Magufuli.
Hahahaha, nimeshangazwa na hii asee.... kwa kawaida jamaa si ndo aliletwa kukiamsha chama vipi tena katafutiwa uchochoro mapema hivi? πππππRisiti
Mtaa upi? Yaani wewe pimbi na Wasukuma wenzio ndiyo mumegeuza ni Tanzania nzima?Raia mtaani wanasemaje?
Ni bora umelifahamu hilo, lakini je, mshamba na Mlamba miguu yupi fala?Ila washamba
Chagua MAKONDA 2030Mtaa upi? Yaani wewe pimbi na Wasukuma wenzio ndiyo mumegeuza ni Tanzania nzima?