Makonda: Serikali imelipa CAF Tsh. Bilioni 82, Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027

Makonda: Serikali imelipa CAF Tsh. Bilioni 82, Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda (Mb) amesema Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tayari imelipa takribani Dola za Marekani Milioni 32 kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kama sehemu ya gharama za maandalizi ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027.

Akizungumza mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Machi 12, 2026 wakati wa ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Kimataifa wa Arusha.

Soma zaidi kuhusu AFCON 2027
 
wtf hiyo ni >30 million usd kwenye nchi yenye kila aina ya shida na matatizo na hapo bado mikopo juu ya infrastucture kwenye hivyo viwanja vipya na maandalizi yote ambayo tutalipia na riba juu. hiyo ndiyo kazi ya muslims umwinyi, anasa na kuchezea fedha tu ndicho wanachojua hakuna fiscal discipline, fikiria hiyo fedha 30 million usd ungeiwekeza kwa mfano tu kwenye elimu ingesaidia watoto wangapi? ...
 
Duuuuh pesa yote hiyo?
Nina uhakika hata robo ya hiyo pesa haiwezi kurudi?
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda (Mb) amesema Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tayari imelipa takribani Dola za Marekani Milioni 32 kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kama sehemu ya gharama za maandalizi ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027.

Akizungumza mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Machi 12, 2026 wakati wa ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Kimataifa wa Arusha.

Soma zaidi kuhusu AFCON 2027
Huku serikali haiwezi kununua MRI ya kisasa 8b. Pumbavu kabisa
 
Imelipa ili iweje, kwani tz siyo mwanachama wa CAF? Tz inataka sifa ambazo haina tunaiga mambo ambayo yapo juu ya uwezo wetu, badala ya kujenga viwanja, kuanzisha football academy,kuleta VAR kwenye viwanja vyetu nk tunalipa a lot of money for the pompous pride. Tunavuna nini kwenye shamba tusilopanda?
 
Naomba kueleweshwa, n gharama za maandalizi kivipi?
Yani hizo pesa zinatumika kwenye nini?
 
Back
Top Bottom