esitena tetena
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 1,747
- 1,082
VYETI PLEAAAAAAAASE!!!!!!!
Lakini wenye uthubutu wawe wa kweli kuanzia mwanzo.Binafsi napenda sana huu uthubutu wa mkuu wa mkoa wa DSM bila kujali elimu yake,kama itawezekana Mheshimiwa rais awe anaangalia kwa jicho la pili wale wenye uthubutu pia wazalendo wenye uchungu na taifa lao asiwaache badala ya kuangalia vyeti ambavyo havina uthubutu
Unajua maana halisi ya kuona aibu! Bora anayeona aibu kuliko mwoga na mwongo kama wewe.
Huna ushahidi wowote lakini mwepesi kulaumu na kushutumu. Subiri hatima ya wale walioitwa Polisi, ndo ujue maana ya ushahidi, aibu na mengineyo
Wivu tu,kwani ukoo wako mzima walisoma?! Mfano angekuwa ni ndugu yako mngemuandama kama mnavyomuandama,despite cheti mbona yuko vizuri tu huyu kijana kila mtu ana past yake muacheni bwanaBishop Gwajima did it already for us
Mbona mmewafukuza mamia ya wafanyakazi na mafao ya mkawanyima kisa vyeti?? Na huyo rais kwa mbwembwe akasema hataki wezi wa vyeti kwenue serikali yake. Leo msumeno umekata kwingine mnaruka maneno yenu.Nchi zilizoendelea hawaangalii cheti kipoje bali wanaangalia uwezo wa mtu wa kufanya kazi lakini sisi tunaoangalia uzuri wa cheti wakati huyo mtu hana uwezo wa kufanya kazi husika ndio umetupelekea tuwepo hapa tulipo. Piga kazi Makonda achana na kelele za mitandaoni.
Vyeti tena???Si Gwajima kasema anavyo ofisini kwake??Rais JPM alivyoingia Madarakani alianza Vita dhidi ya Vihiyo,wezi wa vyeti, wenye vyeti Bandia etl.
Vita dhidi ya Wauza Sembe ilikuwepo tokea zamani.
TUNATAKA VYETIIIIÌIIIIIIII
Naona leo Filamu mumeipeleka Kanisani KKTVyeti tena???Si Gwajima kasema anavyo ofisini kwake??
Kwanini basi wanafunzi wa UDOM waliondolewa? Kwa hiyo kwako wewe uadilifu siyo kitu unaweza kuiba ila Kama unawapenda na kuwahudumia ndg zako poa tu eti. Akili zingine bhanaNchi zilizoendelea hawaangalii cheti kipoje bali wanaangalia uwezo wa mtu wa kufanya kazi lakini sisi tunaoangalia uzuri wa cheti wakati huyo mtu hana uwezo wa kufanya kazi husika ndio umetupelekea tuwepo hapa tulipo. Piga kazi Makonda achana na kelele za mitandaoni.
TATIZO SIO CHETI, KUFOJI MAJINA Wangapi wamezungusha lakini hawapigiwi kelele. Pia kama yeye kabaki na hao waliofukuzwa kwa issue hiyo warudishweofisini, harafu WAANGALIWE UTENDAJI WAO, What a joke!Nchi zilizoendelea hawaangalii cheti kipoje bali wanaangalia uwezo wa mtu wa kufanya kazi lakini sisi tunaoangalia uzuri wa cheti wakati huyo mtu hana uwezo wa kufanya kazi husika ndio umetupelekea tuwepo hapa tulipo. Piga kazi Makonda achana na kelele za mitandaoni.
Kwa vyeti vya kugushi?sawa anafanya kazi ila kuruhusu kugushi !!Nchi zilizoendelea hawaangalii cheti kipoje bali wanaangalia uwezo wa mtu wa kufanya kazi lakini sisi tunaoangalia uzuri wa cheti wakati huyo mtu hana uwezo wa kufanya kazi husika ndio umetupelekea tuwepo hapa tulipo. Piga kazi Makonda achana na kelele za mitandaoni.