Malilambwiga
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 485
- 296
Hatua ya Mkuu wa Wilaya Kinondoni Paul Makonda kufanya mazungumzo na wamiliki wa daladala jijibi Dsm kuwawezesha walimu kusafiri bure kutoka na kwenda kazini ni ya kupobgezwa.
Awali ilipodaiwa mkuu huyu wa wilaya kumpiga jaji warioba ktk mchakato wa katiba nilinchukia kama ukoma.
Kitendo alichokifanya ni cha ubunifu na kitasaidia walimu kuokoa kiasi kikubwa cha nauli ambacho kitawasaidia kujikimu kwa mahitaji mengine.
Kwa hili ulilofanya nimekusamehe.