MM NAWASIWASI NDOA AMBAYO HAIJASAJILIWA NIYAKWAKWE MAANA SISI WENGINE TUNA VYETI TOKA SERIKALI KUPITIA KWA TAASISI ZA DINI SASA KAMA ANAHITAJI HILO AENDE RITA inaonekana ana gap kubwa la uongozi
Haya ndio madhara ya kuteua mtu mwenye sifa pekee ya "kujua kusoma na kuandika tu". Mkoa wake una matatizo makubwa sana ila RC kaona hili ndo analopaswa kulitolea tamko na kulisimamia.