Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) hakitakubali katiba ivunjwe kwa kutofanya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Ameongeza kwa kuwataka wananchi kudumisha amani kwakuwa hakuna Tanzania nyingine na kwamba wote wanaohamasisha uvunjifu wa amani wana hati za kusafiria (passport) na wengine wako nje ya nchi.