THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
'Madereva' wengi wanapoona mambo yanakwenda mrama hu'6' kuendelea na safari na kuamua kutumia 'MAKONDA' kwa sababu 'MAKONDA' wanajuana na wapiga debe(wahuni)wengi wakidhani kuwa matusi na vurugu za MAKONDA na wapiga debe wao huenda yakawashawishi abiria kuingia katika gari ambalo limeshapoteza muelekeo..Matokeo yake ni kwamba vurugu za 'MAKONDA' na wapiga debe licha ya kutokuwashawishi abiria kupanda basi, vilevile huwafukuza abiria wachache waliokuwa ndani ya basi wakidhani ku'6' '6' kwa 'dereva' kulikuwa na maana fulani na kuamua kupanda basi jingine
Copy and Paste from
Isaya Ngwijoh(Facebook)
Copy and Paste from
Isaya Ngwijoh(Facebook)