makonda na madereva watata

makonda na madereva watata

msani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
1,800
Reaction score
1,194
mazungumzo haya ya konda na dereva wake utata mtupu

Dereva:mwana...vp umesimamisha?

Konda:ndio suka...kuna hawa wadada wawili.....

Dereva:waambie wajitahidi kichwa kiingie

konda:mmoja anasema anaumia,hawezi kuvumilia

Dereva:Basi mwambie ashuke ufunge mlango
 
akili zetu zinatafsiri kila neno ndivyo sivyo
 
Back
Top Bottom