Makonda mbona kimya kuhusu Roma Mkatoriki?

Makonda mbona kimya kuhusu Roma Mkatoriki?

Hapa mtu wa kukamatwa akasema walipo akina roma ni makonda. Swali linakuja je ni nina atamvisha paka kengere?
 
Mkuu wa mkoa wa Dar kabla hajagombana na Clouds Medía alikuwa yupo sambamba sana na wasanii hata wakipata matatizo anawa support.

Mbona hili la Roma kutekwa yupo kimya? wakati siyo kawaida yake or kugombana na Clouds ndo kagombana hadi na wasanii wa mziki?

Au anajua kinachoendelea kuhusu swala la Roma kutekwa ndo maana yupo kimya?
Si mmesusia habari zake? Unataka apite na matarumbeta mtaani!?
 
Hee hapo nimeweka alama ya kuuliza,jibu swali halafu si makonda mmemsusa hamtaki ajihusishe nanyi ya nn kumuweka kwenye msala usiomhusu
Tongwe Records iko Tanga??
 
Mkuu wa mkoa wa Dar kabla hajagombana na Clouds Medía alikuwa yupo sambamba sana na wasanii hata wakipata matatizo anawa support.

Mbona hili la Roma kutekwa yupo kimya? wakati siyo kawaida yake or kugombana na Clouds ndo kagombana hadi na wasanii wa mziki?

Au anajua kinachoendelea kuhusu swala la Roma kutekwa ndo maana yupo kimya?
Leo siku ya mapumziko Bashite ana jamiiana (socialize) na Sizonje, kesho utamsikia.
 
Hee hapo nimeweka alama ya kuuliza,jibu swali halafu si makonda mmemsusa hamtaki ajihusishe nanyi ya nn kumuweka kwenye msala usiomhusu
Usizuge mkuu ukiisoma sentensi yako ni wazi ulikuwa unabisha ndio maana umenitaka nikafanye utafiti. Kifupi Makonda ni mwenyekiti wa kamati ya Usalama ya Mkoa sasa why asiagize vyombo vya usalama vishughulikie?
 
Hata akisema nyinyi si mmekataa kutoa au kutangaza habari na kile anachokisema siku hizi kutaja jina lake tu hamtaki mnataja Office ya mkuu wa mkoa bhasi tena mm ningemshauri ni bora kufanya kazi under cover kuliko media attention

Uyo ni mtekaji na muuaji,kamteka Ben,kavamia Clouda na kundi la majambazi,katuma mtu akamtishie Napw sasa kamteka Roma. Tutamnyoosha.
 
Dar inakoelekea itakuwa si sehem salama kuishi kutokana na haya yanayojitokeza nadhan iko haja ya kufanya maamuz magum hapo basi kila kitu kitaenda vizuri mtu huyu ni tatizo kwa mstakbal wa mkoa na nchi. poleni wakaz wa dar.mimi acha nijiande kurud kisauni Mombaxa kwa muda.
 
Uyo ni mtekaji na muuaji,kamteka Ben,kavamia Clouda na kundi la majambazi,katuma mtu akamtishie Napw sasa kamteka Roma. Tutamnyoosha.
Hahahahahhaha aya mkuu lakini pia unatakiwa kujua Watanganyika wamekuwa mabingwa wa kutafuta kiki mpaka kwenye vitu ambayo binadamu wa ukweli hawezi kufanya
 
Usizuge mkuu ukiisoma sentensi yako ni wazi ulikuwa unabisha ndio maana umenitaka nikafanye utafiti. Kifupi Makonda ni mwenyekiti wa kamati ya Usalama ya Mkoa sasa why asiagize vyombo vya usalama vishughulikie?
Sizugi wala nn,ungenipa jibu ili nionekane mjinga ningesema nizuge ningeenda futa comment yangu. Sijui ilipo hio studio wala kilichompeleka hapo roma na deals zake nje ya muziki sizijui.Watu kama nyie leo mnashangaza sana kuna mwingine analalamika mwigulu kulike page ya insta badala ya kumtafuta roma,mwingine anamlalamikia mwakyembe,wewe unamlalamikia makonda ina maana wote hao waache shughuli zao kumtafuta mtu mmoja tu? Si huyu huyu makonda alipoanza msako wa madawa mlisema kazi ya polisi hio,hicho cheo cha mwenyekiti wa usalama hamkua mnakifahamu?
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Hata akisema chochote tutapataje alichozungumza wakati vyombo vya habari vimesusa kuandika lolote linalo mhusu? Kwako kaka Mshana
 
Mkuu wa mkoa wa Dar kabla hajagombana na Clouds Medía alikuwa yupo sambamba sana na wasanii hata wakipata matatizo anawa support.

Mbona hili la Roma kutekwa yupo kimya? wakati siyo kawaida yake or kugombana na Clouds ndo kagombana hadi na wasanii wa mziki?

Au anajua kinachoendelea kuhusu swala la Roma kutekwa ndo maana yupo kimya?
Kajiteka
 
Sizugi wala nn,ungenipa jibu ili nionekane mjinga ningesema nizuge ningeenda futa comment yangu. Sijui ilipo hio studio wala kilichompeleka hapo roma na deals zake nje ya muziki sizijui.Watu kama nyie leo mnashangaza sana kuna mwingine analalamika mwigulu kulike page ya insta badala ya kumtafuta roma,mwingine anamlalamikia mwakyembe,wewe unamlalamikia makonda ina maana wote hao waache shughuki zao kumtafuta mtu mmoja tu? Si huyu huyu makonda alipoanza msako wa madawa mlisema kazi ya polisi hio,hicho cheo cha mwenyekiti wa usalama hamkua mnakifahamu?
Poa poa Mkuu usiwake sana hailipi. Makonda ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa au sio? Sababu ya kumtaja Makonda ni hiyo..... chill bro. 🙂🙂🙂
 
Mie sio bro,kumbe ulidhan unabishan na bro aisee!!
Poa poa Mkuu usiwake sana hailipi. Makonda ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa au sio? Sababu ya kumtaja Makonda ni hiyo..... chill bro. 🙂🙂🙂
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Makonda anaishi kama ana dhamana ya kuishi milele!
 
Back
Top Bottom