Makonda, kwanini kila ukimtaja Rais Magufuli lazima ukosee na kumtaja Kikwete?

jamaa cjui anatafuta cheo gan tena maana cjui km anaweza panda cheo zaid ya hapo
 
Kikwete atakumbukwa sana, ni vigumu kumsahau Kikwete haraka haraka.

Hilo si kwa Makonda tu, wengi wanamkumbuka sana tu, mpaka tumewasikia upinzani wakimkumbuka wazi wazi mara kadhaa na kwa makusudi kabisa si kwa kukosea kama Makonda.

Ukweli ubaki kuwa ukweli.
Tofautisha kumkumbuka mtu na kumtaja mtu mwingine badala ya mlengwa. Shuleni ulijifunza ujinga tu?
 
Wale waandishi wa habari wa CLOUDS wanaelewa sana wanachokifanya, kwa kushirikiana na Uongozi wa juu wa Radio. Wanajua watawala wanataka nini na wamekuwa tayari kuwapa mara zote, ili mambo yao yaende.
hivi Radio ya Taifa si ipo...??? , eti anadai anaadress maswala ya kitaifa kwenye radio binafsi.....?sawa, sio vibaya lakini kwanini asingeita press ofisini kwake na vyombo vyote vya habari vikapata nafasi ya kuuhabarisha UMMA juu ya mambo ya kiserikali.....??au anataka wote tuskize mawingu radio.....
nadhani kunamakubaliano kati yao , yanaweza kuwa formal / informal ilimradi kila mmoja anufaike na mweziwe....
huyu mmoja anatangaza Radio, NA Huyu mwingine anamtangaza mwingine Kisiasa...
kulikuwa kunahaja Gani ya kutaja MWEWE,?? kwani hapo ni sehemu PEKEE unapopata taharifa za mambo yanayohusu DSM.?
tumechoshwa na siasa mkubwa wa mkoa , tufanye kazi kama msemo wa mkubwa wa nchi, Asubui asubui upo radioni , kazi saa ngapi.....??? unasema watumishi wa Umma asilimia 80% wanapiga umbea na kunywa chai. (umefanya tafiti au umekuwa kasuku) ,,,, sasa wewe labda ulikuwa ujijui kuwa ni mtumishi wa Serikali.....wewe ni mtumishi wa Serikali na Pale Radioni Hakuna kingine ulikuwa unafanya zaidi ya kupiga UMBEA.
Unaongea kama mtu mwenye UCHUNGU wa kweli na kuumizwa juu ya namna mambo yanavyoenda, lakini wewe mwenyewe DHAMIRA ikuukumu juu ya Kutafuta umaarufu wa kisiasa.
SIASA ZA UMAARUFU ZINATOSHA , TUNATAKA SIASA SAFI.
 
Namsikiliza Makonda hapa Clouds alipokwenda kujikosha kuhusu shisha na rushwa ya Polisi akikosea tena badala ya Rais Magufuli na kuanza kutaja Rais Kikwete.

Hii sii Mara ya kwanza, hilo kosa analifanya sana na Magufuli ana zaidi ya mwaka ndani ya cheo hicho.

Wataalamu wa saikolojia wanaamini kuwa yule aliyejaa kichwani mwako ndiye mwepesi kumtamka mdomoni.

Jee Makonda akili yake bado imejaa kwa Rais Kikwete kuliko Magufuli au hilo linatokea kwa vile anaripoti mambo kwa Kikwete kinyemela?

JPM Ajichunge kwani wapo wateule wake ambao akili zao hazipo kwake Bali kwa mtangulizi wake.
Na anaporipoti huko inakuwaje?
 
Back
Top Bottom