MAKONDA KUSEMA WAKRISTO KUOWA MMOJA NA KUENDELEA

Ibrahim Msuya

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
572
1,263
HM: makondo kusema kwamba wakristo kuowa wanawake wawili je, ni sawa au ndio kutafuta kiki mjini au ni kweli itakuwa imesaidia dada zetu kukaa nyumbani muda mrefu bila ya kupata mchumba?
 
Unamaanisha amesema wanaume wanaoamini katika Kristo Yesu wanatakiwa waoe mke zaidi ya mmoja? If yes..
Naona baada ya kitabu cha Malaki kwenye biblia anataka kuongeza kingine kinachoitwa Bashite.
 
Kama ataonyesha mfano basi atafuatwa lakini kuongea tu kama Chiriku haisaidii
 
Binafsi nitaacha kuwa na wivu siku nyie pia mkiacha kuwa na wivu.
Tofauti na hapo ni wivu wivuni.
Aya endelea kushindana na wanaume
Utapata unachokitafuta
Ukichokoza nyuki mchana uwe Umejiandaa vzr Kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…