Ibrahim Msuya
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 572
- 1,263
HM: makondo kusema kwamba wakristo kuowa wanawake wawili je, ni sawa au ndio kutafuta kiki mjini au ni kweli itakuwa imesaidia dada zetu kukaa nyumbani muda mrefu bila ya kupata mchumba?
Tunaendelea kumwomba munguHM: makondo kusema kwamba wakristo kuowa wanawake wa wili je, ni sawa au ndo kutafuta kiki mjini au ni kweli itakuwa imesaidia dada zetu kukaa nyumbani mda mrefu bila ya kupata mchumba?
Acheni wivu kwanzaUnamaanisha amesema wanaume wanaoamini katika Kristo Yesu wanatakiwa waoe mke zaidi ya mmoja? If yes..
Naona baada ya kitabu cha Malaki kwenye biblia anataka kuongeza kingine kinachoitwa Bashite.
Binafsi nitaacha kuwa na wivu siku nyie pia mkiacha kuwa na wivu.Acheni wivu kwanza
Lasihivyo michepuko hatuachi
Amesma yeye kama nani? Ni msemaji wa wakristo?HM: makondo kusema kwamba wakristo kuowa wanawake wa wili je, ni sawa au ndo kutafuta kiki mjini au ni kweli itakuwa imesaidia dada zetu kukaa nyumbani mda mrefu bila ya kupata mchumba?
Umeolewa?Binafsi nitaacha kuwa na wivu siku nyie pia mkiacha kuwa na wivu.
Tofauti na hapo ni wivu wivuni.
Na nyie siku mtaacha wivu hata sisi tutaacha michepukoAcheni wivu kwanza
Lasihivyo michepuko hatuachi
NdiyoUmeolewa?
Na nyie siku mtaacha wivu hata sisi tutaacha michepuko
Mbon papa franc hana kwaiyo yy anatakiwa atuonyeshe mfano hiiidunia bhnaYeye anao wangapi kama kiongozi kutuonyesha njia
Papa msimamo wa kanisa unamzuia kufanya hivyoMbon papa franc hana kwaiyo yy anatakiwa atuonyeshe mfano hiiidunia bhna
Mimi ni mwanamke na pm yangu imefungwa sihitaji messages.Hivi wewe ni me au ke? Mbona hujibu msg zangu pm
Wacha weeh..Na nyie siku mtaacha wivu hata sisi tutaacha michepuko
Hahaha, ila nikimkumbuka babu yetu Sulemani najikuta nataka kumuunga mguu ujue..LoAmesma yeye kama nani? Ni msemaji wa wakristo?
Aya endelea kushindana na wanaumeBinafsi nitaacha kuwa na wivu siku nyie pia mkiacha kuwa na wivu.
Tofauti na hapo ni wivu wivuni.