Makonda kaenda wapi?('Quite inferior')

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,386
Hiyo 'Quite inferior' nimetumia tu kiingereza kipya nilichokisikia juzi kutoka kwa Kiongozi Mkuu lakini namaanisha 'Quite unusual'...

...Tunaingia wiki ya pili sasa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda is unusually quiet, yan hasikiki kabisa...amepatwa na nini?Anaumwa?Au ndo ameanza kukua?Au mipango imeisha!
 
Nimemwona kupitia Luninga akipokea Madawati 600 kutoka kwa Gwiji a muziki Tanzania, Diamond!
 
Back
Top Bottom